Tag: soka
MBABE WA YANGA HAPOI AIBUKIA HUKU
ZUBER Katwila, aliyekuwa kwenye benchi Uwanja wa Highland Estate ubao uliposoma Ihefu 2-1 Yanga anatajwa kuwa katikà hesabu za mabosi wake wa zamani Mtibwa...
JAMBO LISIWE GUMU MASTAA SIMBA WAJAZWA MINOTI MAPEMA AFL DHIDI YA...
WACHEZAJI wa Simba washindwe wao tu sasa hivi hiyo ni baada ya kuhakikishiwa kupewa pesa ya maana katika michezo miwili ya robo fainali ya...
JANJA YA MAXI KUMBE IKO HAPA
MAXI Nzengeli nyota wa Yanga mwenye spidi na uwezo wa kutoa pasi ndefu na fupi akiwa ndani ya uwanja ujanja wake wa kufunga mabao...
MAMBO NI MOTO CHAMPIONSHIP KOCHA MWINGINE ATUPIWA VIRAGO
Klabu ya @standunitedfc 'Chama la Wana' yenye maskani yake Shinyanga, imemfuta kazi kocha wake mkuu Zulkifri Iddy, kutokana na mwenendo usioridhisha wa timu hiyo...
BENZEMA AHUSISHWA NA UGAIDI KUFUATIA SAKATA PALESTINA
Waziri wa Mambo ya ndani wa nchini Ufaransa, Gerald Darmanin, anamshutumu mchezaji wa ‘klabu’ ya Al-Ittihad ya Uarabuni, Karim Benzema kwa kuwa na uhusiano...
BANGALA KUIKOSA YANGA ISHU IKO HIVI
Kiungo Mkabaji wa kutoka DR Congo Yannick Bangala ameondolewa katika mipango ya Azm FC kuelekea mchezo wa Mzunguuko wasita wa Ligi Kuu Tanzania Bara...
WAZIRI WA UTAMADUNI AWEKA UTABIRI WA KIBABE SIMBA, YANGA CAFCL
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Damas Ndumbaro amesema hatua ambayo Simba na Yanga zimefikia kucheza makundi Ligi ya Mabingwa Afrika huenda ikatokea...
KWELI HII HATARI WATU WANAIJUA SIMBA KULIKO STARS
Mchambuzi wa soka Bongo, Amri Kiemba amechambua kuhusu mashabiki wa soka kuizungumzia klabu ya Simba kuliko timu ya Taifa.
Huu hapa uchambuzi wake;
"Inawezekana TFF ina...
GAMONDI ATOA ONYO KUHUSU UBINAFSI KISA MASTAA HAWA
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans, Miguel Angel Gamondi, amewataka wachezaji wa timu hiyo kuacha kuangalia mambo binafsi haswa katika...
UJIO WA MANULA WAMPA WASIWASI MWARABU WA SIMBA
Mashabiki wa Simba kwa sasa angalau wana furaha baada ya kusikia kipa namba moja wa timu hiyo, Aishi Manula amerejea uwanjani na juzi kucheza...