Tag: soka
YANGA -TUNATAKA CHANGAMOTO YEYOTE….. ANAETUWEZA AJE…
Klabu ya Yanga imesema kuwa wakati huu ambapo ligi imesimama wanataraji kucheza mchezo wa kirafiki siku ya Jumapili lakini jina la timu bado halijawekwa...
HAYA SASA SEPTEMBER 14 YANGA WANAJAMBO LAO
Timu ya Yanga imesema itaanza safari ya kuelekea Rwanda Septemba 14 kwa ajili ya mchezo wao wa kwanza hatua ya mtoano kufuzu makundi Ligi...
BEKI HUYU WA SIMBA ATIMKIA UARABUNI, ISHU IKO HIVI
Mlinzi wa zamani wa Simba SC, Mohamed Ouattara amejiunga na klabu ya Al-Ain FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Falme za Kiarabu (UAE) kwa mkataba...
ROBERTINHO ATAMBA KUIKALISHA AL AHLY, AWEKA MTEGO HUU KWA MKAPA
KOCHA Mkuu wa Simba, Mbrazili, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amesema hana hofu ya kukutana na Al Ahly ya Misri, kwani anazijua mbinu zote wanazotumia.
Timu hizo...
SIO AL AHLY MLETENI YEYOTE, SIMBA WATAMBA
Uongozi wa Simba umesema kuwa licha ya kupangiwa kukutana na Al Ahly bado kwao hawakuwa wanahofia kukutana na timu yoyote kwani walikuwa tayari kukytana...
ROBERTINHO AFUNGUKA HAYA KUHUSU LUIS MIQUISSONE
Kocha Robertinho amesema amefurahishwa na kitendo cha winga Luis Miquissone kupungua uzito, akisema kurejea kwake kwenye kiwango na wepesi kutaiongezea kitu kizito timu yake...
GAMONDI AMTAKA STRAIKA MWINGINE, MAMBO BADO SANA
Yanga imeanza msimu mpya kwa kasi ikigawa dozi kwenye michuano mbalimbali inayoshiriki, lakini kama unadhani kocha Miguel Gamondi ameridhika na kasi hiyo unakosea, kwani...
KOCHA WA SIMBA HUYU HAPA TAIFA STARS….. ISHU IKO HIVI
Meneja Mkuu wa kikosi cha Simba SC, Mikael Igendia ni sehemu ya Benchi la ufundi la kikosi cha Taifa Stars kilichoko kambini nchini Tunisia...
THE CRANE YA UGANDA YAKANUSHA TAARIFA YA YANGA KUHUSU BEKI WAO...
Msemaji wa Shirikisho la Soka Uganda (FUFA) Joel Moses amekanusha taarifa iliyotolewa na klabu ya Yanga kuwa beki Giggy Gift Fred ameitwa timu ya...
HUKO SUPER LEAGUE MAMBO NI MOTO, SIMBA WAJA NA MBINU HII...
Simba watavaana na Al Ahly ya Misri katika michuano ya African Super League hatua ya nane bora.
Bila shaka Simba wanafanya kila jitihada kuhakikisha kuwa...