Tag: soka
GAMONDI AIPA TANO SIMBA, BAADA YA KIPIGO
Licha ya kupoteza mchezo wa ngao ya jamii kocha mkuu wa klabu ya Yanga Miguel Gamondi amesema amefurahishwa na kiwango walichokionyesha vijana wake.
Licha ya...
YANGA KINYONGE WAIACHA NGAO YA JAMII NYUMA
Yanga SC imeanza safari kurejea jijini Dar es Salaam ikitokea Tanga kujiandaa na mechi zinazofuata wakianza na KMC Ligi Kuu Agosti 23 katika Uwanja...
MASTAA HAWA WAANZA KAZI RASMI YANGA
Wachezaji wapya wa Yanga, Pacome Zouzoua raia wa Ivory Coast na Hafiz Konkoni kutoka Ghana, jana walianza kazi rasmi ndani ya kikosi hicho.
Pacome ambaye...
GAMONDI AWAANGUKIA MASHABIKI WA YANGA
Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga, Miguel Gamondi amewaomba radhi mashabiki na wanachama wa klabu hiyo kwa kushindwa kutwaa Ngao ya Jamii baada ya...
HESHIMA IMERUDI,ALLY SALIM AWA SHUJAA, BALEKE AIZIMA YANGA, MAXI, YAO...
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
DAUDA AICHAMBUA YANGA YA GAMONDI, ASEMA HAYA KUHUSU DABI
Timu zote zimetoka kucheza mechi za Nusu Fainali na kufanikiwa kufuzu kucheza Fainali, kuuendea mchezo wa Fainali ya watani wa Kariakoo itakuwa tofauti na...
KWA RATIBA HII SASA YANGA WASHINDWE WENYEWE
YANGA ishindwe yenyewe tu kwa namna neema ilivyoiangukia mapema kabla ya msimu mpya wa Ligi Kuu Bara na michuano ya CAF haijaanza kutokana na...
GAMONDI AWAFANYIA SIMBA UMAFIA KIMYA KIMYA
WAKATI Simba ikipambana dhidi ya Singida Fountain Gate jukwaani kulikuwa na ugeni wa watu wanne wakiwasoma ambao uwepo wao hapo hauna habari njema kwa...
AFADHALI YA ROBERTINHO, SIO HUKO KWA GAMONDI NA HILI LA DABO...
Achana na Robertinho yeye tayari ameshapata mwanga‼️Lakini vipi hawa wawili, Miguel Gamondi wa upande wa Yanga SC pamoja na Youssouph Dabo wa Azam FC...
VITA YA NAMBA HUKO YANGA SASA IMESHAKUWA MAJANGA…… WAZAWA WAGOMA
Kuna vita kubwa ya namba ya namba inayoendelea kambini Yanga ni baada ya wachezaji wazawa kugoma kukaa benchi.
Yanga wapo kambini hivi sasa wakijiandaa na...