Tag: YANGA
ROBERTINHO AIBUKIA YANGA AMPA GAMONDI MBINU ZA KUIUA AL AHLY
Kikosi cha Yanga kinaendelea na maandalizi ya mchezo wa pili wa makundi wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly ya Misri, huku...
YANGA WAIPIGA KIJEMBE SIMBA KISA VIKAO VYA USIKU…. KAMWE AFUNGUKA HAYA
Wakati Yanga wakijiandaa kukabiliana na Mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Afrika Klabu ya Al Ahly siku ya Jumamosi Desemba 2 katika Uwanja wa...
AL AHLY KUTUA DAR LEO, MASTAA HAWA WA YANGA NJE YA...
Ofisa Habari na mawasiliano wa Al Ahly, Gamal Gabr amesema timu hiyo itatua nchini leo na wachezaji 25 huku nyota watatu Taher Mohamed, Antony...
ASFC KUTIMUA MBIO HII HAPA RATIBA YAKE, SIMBA, YANGA NA AZAM...
DROO ya raundi ya pili ya michuano ya ya Kombe la Shirikisho la Azam(ASFC) imefanyika leo ambapo mabingwa watetezi Yanga itacheza dhidi ya Hauling...
IBRAHIM BACCA ACHUKUA MAAMUZI MAGUMU YANGA, AJIPIGA KITANZI KIREFU
BEKI wa kati, Ibrahim Abdallah Hamad 'Bacca' ameongeza mkataba wa kuendelea na kazi katika klabu ya Yanga hadi mwaka 2027.
Bacca (26) aliyejiunga na Yanga...
MASTAA YANGA WAIPIGA MKWARA MZITO ALAHLY
Beki wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans Dickson Job amesema kupoteza kwao dhidi ya CR Belouizdad ya Algeria haina maana kwamba wametoka...
GAMONDI AL AHLY WEPESI TU HAKUNA PRESHA
Kocha Mkuu wa Yanga SC, Miguel Gamondi, amesema hana presha kuelekea mchezo ujao dhidi ya Al Ahly, huku akibainisha kwamba utakuwa mzuri kwa Wananchi.
Gamondi...
DIARRA KAMA KAWA DHIDI YA AL AHLY
Kipa wa Yanga SC, Djigui Diarra, anatarajia kuwepo katika mchezo ujao dhidi ya Al Ahly baada ya jana kukosekana tulipocheza dhidi ya CR Belouizdad.
Diarra...
KISA SAFARI YA ZANZIBAR ALLY KAMWE AMPIGA KIJEMBE FEI TOTO
Ofisa Habari Yanga, Ally kamwe amesema safari yote ya Zanzibar majibu kamili yatapatikana saa 5 asubuhi hii wananchi watapata Habari zote kwanini Yanga imekuja...
MANARA AFUNGUKA KUHUSU MO DEWJI NA AINA YA WATU ANAOWAPENDA
Aliyewahi kuwa msemaji wakLabu ya Simba, Haji Manara amesema kuwa baada kuteuliwa jwa barbara Gonzalez kuwa Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa klabu hiyo, yeye...