Tag: yangasc
YANGA INAGAWA DOZI NYUMBANI NA UGENINI…GARI LIMEWAKA JANGWANI…MNYAMA HAFUI DAFU
Michezo Ligi kuu soka Tanzania Bara ikiwa ipo raundi ya 25 na imesalia michezo 5 kabla ya kumalizika kwa msimu, takwimu zinaonyesha Klabu ya...
VUTA NIKUVUTE USAJILI…AL HILAL YAWAMWAGIA MPUNGA YANGA… “HATUUZI MCHEZAJI HATUNA NJAA
Imeelezwa kuwa klabu ya Al Hilal ya Sudan inayofundishwa na kocha mwenye jina kubwa Afrika, Florent Ibenge inaangalia uwezekano wa kuipata saini ya mshambuliaji...
IJE MVUA AU LIWAKE JUA…SIMBA NA YANGA WIKIENDI HII…DAR ITASIMAMA KWA...
Wababe wa Ligi Kuu, Simba na Yanga wiki hii watakuwa na mechi za kuamua hatima yao katika mashindano ya Kimataifa.
Simba inashuka uwanjani hapo Jumamosi...
YANGA IMEUPIGA MWINGI…IMEMSAJILI FUNDI MALI….WAMALIZANA NAYE HOSPITALI
Klabu ya Yanga inaripotiwa kuwa imeshafunga hesabu za kumsajili fundi wa Singida Big Stars, Bruno Gomez kama mambo yataenda kama yalivyopangwa, ataonekana katika jezi...
FEISAL SALUM “FEI TOTO” ALIKUWA NA STRESS…MGOGORO NA YANGA WAMSUMBUA…AITWA STARS...
Wakati mjadala ukizidi kupamba moto kutokana na kujumuishwa katika kikosi cha Timu ya Taifa Kiungo wa Yanga, Feisal Salum "Fei Toto" wakati amekaa nje...
NABI SIWAOGOPI WAARABU…KUWENI WAPOLE NIWANYOOSHE…TUMEPATA SIRI ZAO
Kocha wa Yanga, Profesa Nasreddine Nabi amesema Hawaogopi Monastir, japo waliwafunga kwao na wao wana uwezo wa kuwafunga hapa na wanaendelea kufanyia kazi Mipango...
TIKETI ZA KITONGA MECHI YA YANGA….TIKETI 1000 KUTOLEWA BURE…THAMINI UTU CHANGIA...
Makamu wa Rais wa Yanga SC, Arafat Haji ametoa tiketi 1000 za kushuhudia mchezo dhidi ya US Monastir
katika mchezo utakaochezwa jumapili ya wiki...
YANGA KULITETEA TAJI LAO…TUMEWAACHA POINTI NYINGI WANAOTUFATA…TUNAPAMBANIA MATAJI YOTE
Pointi 8 ambazo wamewaacha watani zao wa jadi Simba, zimeipa kiburi Yanga ya kufanya vizuri kwenye mechi zijazo za Ligi Kuu Bara na kutetea...
MAYELE NA MUSONDA WAMPA JEURI RAISI…YANGA ITAWEKA REKODI MSIMU HUU…TIMU IPO...
Kiwango bora kinachoendelea kuoneshwa na Yanga katika mashindano mbalimbali msimu huu, kimemuibua Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said ambaye ameweka wazi kuwa, wana matumaini...
MAYELE TUZO YA MFUNGAJI BORA IPO PALEPALE…USHINDI KWETU LAZIMA…TUNAHITAJI MAGOLI
Mshambuliaji wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans(YANGA) Fiston Kalala Mayele, amesema kwa namna pekee itakayomfanya afanikishe malengo ya kutwaa Tuzo ya Ufungaji...