Tag: yangasc
FEISAL SALUM “FEI TOTO” AFANYA MAKUBWA HAYA BONGO…JOB NA BACCA SALUTI
Ibrahim Bacca amesajiliwa Yanga January 2022, Wakati huo Feisal Salum alisajiliwa Yanga July 2018.
Leo Ibrahim Bacca anaboreshewa maslahi baada ya kuonesha kiwango bora huku...
“KUNA WATU WAMEWEKEZA PESA WANA…MICHAMBO,MASIMANGO NA MINUNO”…ALLY KAMWE
Zikiwa zemesalia siku chache ambapo Klabu ya Yanga itakutana na Rivers United kutokea nchini Nigeria katika mechi ya marudiano Kombe la Shirikisho CAF,
Afisa...
IMEFICHUKA!!!….MAYELE KUTWAA KIATU CHA DHAHABU…KOMBE LA SHIRIKISHO
Afisa Habarai wa Klabu ya Yanga, Alikamwe amesema kuwa
Mshambuliaji wa timu hiyo Fiston Mayele amewaambia wachezaji wenzake wamsaidie kupata kiatu cha dhahabu cha ufungaji...
BACCA AFICHUA YANAYOENDELEA YANGA…”SIWEZI KUTAJA SIFA ZA MCHEZAJI…AFUNGUKA HAYA
Beki wa Kati wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans Ibrahim Abdullah 'Bacca' amesema ubora wa safu ya ulinzi wa kikosi chao ndio...
TUCHEL AWAPIGIA SALUTI BALEKE,MAYELE…”WATAFANYA MAKUBWA CAF…AMEZUNGUMZA HAYA
Nyota Simba SC Jean Baleke na Fiston Mayele anayekipiga Young Africans, wamepewa nafasi kubwa ya kuzibeba timu zao kufanya vizuri katika michezo wa Mkondo...
EE BWANA!! MAYELE AWEKA REKODI HII MPYA YA KIBABE…AMEZUNGUMZA HAYA
Nimeweka rekodi! hii ni kauli ya kinara wa upachikaji wa mabao Kombe la Shirikisho Afrika (5) na Ligi Kuu Bara (16), Fiston Mayele ambaye...
HANS PLUIJIM AKIRI KUNYIMWA USINGIZI NA YANGA…CHAKULA HAKIPANDI!
Kocha Mkuu wa Singida Big Stars, Hans Pluijm amekiri kuwa ubora wa kikosi cha Yanga unamnyima usingizi kuelekea mechi mbili ambazo wanatarajia kucheza hivi...
KWA MARA YA KWANZA…NAHODHA YANGA AFUNGUKA SIRI HII YA KUWACHAPA RIVERS
Nahodha wa Yanga, Bakari Mwamnyeto amesema timu yao ilibadili mfumo ndiyo maana wakafanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Rivers United ya...
KOCHA YANGA AFICHUA KUMPIGA CHINI MORRISON…KUMBE ANA MAJERAHA HAYA
Kocha msaidizi wa Yanga SC, Cedric Kaze amefichua kuwa sababu iliyowafanya benchi la ufundi kutomtumia winga Benard Morrison
kwenye mchezo wa kwanza wa Robo Fainali...
RAIS “HAKUNA WA KUIZUIA YANGA KUTWAA UBINGWA CAF…AMEFUNGUKA HAYA
Rais wa Klabu ya Yanga, Eng. Hersi Said amesema kuwa hakuna timu ya kuizuia Yanga kubeba ubingwa wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika kwani...