MESSI ANAPAMBANA KUWA FITI KUKINUKISHA DHIDI YA ATHLETIC BILBAO

0
LIONEL Messi staa wa Barcelona ameanza mazoezi ya Gym ikiwa ni sehemu ya matibabu yake kufuatia majeraha aliyoyapata hivi karibuni.Messi aliumia mara baada ya...

KOCHA SINGIDA UNITED AANZA KUTEMA CHECHE

0
FELIX Minziro, Kocha Mkuu wa Singida United amesema kuwa kazi itakuwa moto msimu ujao kutokana na maandalizi ambayo wanayafanya.Akizungumza na Saleh Jembe, Minziro amesema...

MBELGIJI WA SIMBA AWAPA MAPUMZIKO WACHEZAJI WAKE

0
WACHEZAJI wa Simba leo kazi ni kwao kuamua kula bata ama kupumzika na familia zao nyumbani ama kwenda kwa ndugu na majamaa.Ruksa hiyo ni...

KUWAONA WA KIMATAIFA SIMBA NA AZAM FC TAIFA BUKU TANO TU

0
MCHEZO wa Ufunguzi wa Ligi Kuu Bara kati ya Azam FC na Simba unatarajiwa kupigwa Agosti 17 uwanja wa Taifa.Mchezo huo ni wa ufunguzi...

KMC LEO WACHEZAJI NI MWENDO WA BATA, KMKM MLIMA MZITO, MALINDI PIA MOTO

0
JACKSON Mayanya, Kocha Mkuu wa KMC amewapa mapumziko ya siku moja wachezaji wake kabla ya kuanza mazoezi kesho kuiwinda AS Kigali hivyo kazi ni...

YANGA YAPANIA KUPINDUA MEZA KIBABE BOTSWANA, SARE YAWAUMIZA KINOMA

0
MWINYI Zahera, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kazi kubwa aliyonayo sasa ni kusuka mpango makini utakaowapa matokeo ugenini.Karata ya kwanza kwenye michuano ya...

SIMBA WAIVUTIA PUMZI UD SONGO, MAKALI YAO YOTE KWA AZAM FC

0
PATRICK Aussems, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa hesabu kubwa ni mchezo wake wa ngao ya jamii dhidi ya Azam FC utakaopigwa Jumamosi uwanja...

NAIBU WAZIRI WA HABARI, SANAA, MICHEZO NA UTAMADUNI AKABIDHI KOMBE KWA MABINGWA WA NDONDO...

0
NAIBU Waziri wa Habari, Sanaa, Michezo na Utamaduni, Juliana Shonza amewakabidhi kombe la Ndondo Cup timu ya UV Temeke, yenye maskani yake Temeke jana...

KOCHA TANZANITE AFICHUA SIRI YA MAFANIKIO

0
BAKARI Shime, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 20 'Tanzanite' amesema kuwa kikubwa kilichowapa ushindi ni kujiamini na kucheza...

SIMBA: TUNAFUNGA HESABU JUMLAJUMLA ZA UD SONGO TAIFA

0
UONGOZI wa Simba umesema kuwa kwenye mchezo wa marudio wa kimataifa dhidi ya UD Songo, unaotarajiwa kuchezwa uwanja wa Taifa itakuwa ngumu kwa wapinzani...