KINDA WA TIMU YA TAIFA YA ENGLAND APIGWA PINI MIAKA MITANO UNITED

0
MANCHESTER United imekamilisha dili la kinda Aaron Wan-Bissaka kwa dau la Euro millioni 50.Kinda huyo wa timu ya Taifa ya England mwenye umri wa miaka 21 amesaini dili...

EMMANUEL OKWI AIVURUGA SIMBA

0
NYOTA wa timu ya Simba, Emmanuel Okwi ambaye kwa sasa anazidi kuwa mtamu kwenye michuano ya Afcon inayoendelea nchini Misri amewavuruga mabosi wa Simba...

MWINYI ZAHERA WA YANGA AGOMA KUREJEA BONGO

0
LICHA ya timu yake kushindwa kufurukuta kwenye michuano ya Afcon inayoendelea nchini Misri, Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amegoma kurudi mapema Bongo endapo...

NDAYIRAGIJE ATAKA MASHINE KALI NNE, ASHIKILIA JINA LA MZAWA MMOJA

0
SELEMAN Ndikumana raia wa Burundi anaungana na nyota wengine wapya ndani ya Azam FC ambao ni pamoja na Idd Seleman ‘Nado’ Emmanuel Mvuyekure ambaye...

VIKOSI VINNE VILIVYO KUNDI LA TAIFA STARS, ANGALIA UTUAMBIE UNAAMINI KIPI NI KIKOSI BORA...

0
Na Saleh Ally, CairoHivi ndio vikosi vitatu vya Senegal, Algeria na Kenya vilivyo katika kundi moja katika michuano ya Afcon na timu yetu ya...

TAIFA STARS AFCON, TUNAKICHEKA TUSICHOKIJUA LICHA YA KUWA CHA KWETU

0
Na Saleh Ally, CairoNILIPITA karibu na vyumba vya wachezaji wa Taifa Stars na kuwaona wengi wao wakiwa wamejiinamia na baadhi yao wakibubujikwa na machozi.Hili...

TUNDAMAN KUACHIA NGOMA SOON! “SIWEZI KUWATUNGIA WIMBO YANGA” – VIDEO

0
Msanii wa Bongo Fleva, Tundaman ambaye alikua golikipa wa Timu ya Bongo Fleva ambayo ilishuka dimbani kuminyana na Global FC nje kidogo ya Jijini...

TP MAZEMBE YAKUMBUSHIA DILI LA AJIBU

0
BAADA ya mawakala wa TP Mazembe kutua nchini Tanzania wiki hii kwa ajili ya kunasa baadhi ya saini za wachezaji mbalimbali, imebainika kuwa wameamua...

HATMA YA OKWI, JUUKO YATOLEWA SIMBA

0
WAKATI kukiwa na taarifa za nyota wengi wa Simba akiwemo Juuko Murshid na Emmanuel Okwi kutokuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo kwa msimu...

MWAMBUSI ARUDI MBEYA CITY, ASAINI MWAKA

0
KOCHA Juma Mwambusi amerejea nyumbani pale Mbeya City na kusaini mkataba wa mwaka mmoja kwa ajili ya kuinoa timu hiyo msimu ujao.Mwambusi ndiye aliyeipandisha...