AZAM YALETA CHANGAMOTO KWA SIMBA

0
Kocha Mkuu wa timu ya Azam, Ettiene Ndayiragije raia wa Burundi amepanga kukiboresha kikosi chake kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu Bara kwa kuwasajili...

KIFAA KINGINE AFCON KUSAINI YANGA

0
Jina la mshambuliaji Rashid Mandawa lipo kwenye orodha ya mastaa wanaotakiwa pale Yanga.Kama ulikuwa unajua kuwa Yanga wamemaliza kufanya usajlli wa washambuliaji basi umejidanganya...

MAYANJA KUIBEBA KMC KAGAME

0
UONGOZI wa timu ya KMC, jana ulimtambulisha Mganda, Jackson Mayanja kuwa ndiye kocha wao mkuu ambaye ataanza kazi kwenye michuano ya Kombe la Kagame.KMC...

MAN UNITED YANASA BONGE LA BEKI

0
MANCHESTER UNITED ipo kwenye hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa beki Aaron Wan-Bissaka. Wan-Bissaka anatajwa kama miongoni mwa mabeki bora wa pembeni kwenye...

LUKAKU ANAONDOKA ZAKE MAN UNITED

0
Imeripotiwa kuwa Romelu Lukaku ameamua kuondoka Manchester United, hii ni kwa mujibu wa wakala wake.Straika huyo mwenye umri wa miaka 26 anatazamiwa kuachana na...

WABUNGE PIA WAMEONYESHA UDHAIFU KUHUSIANA NA TAIFA STARS, HUU SI WAKATI WA MAKUNDI

0
*Wakati mwingine wasialikwe kambini wakati wa mashindanoNa Saleh Ally, CairoWABUNGE walitaka kumtoa roho CAG, kisa aliwaita dhaifu, tena aliyeongoza vita hiyo ambayo wao waliita...

Shomari Kapombe bado yuko Simba

0
Usajili wa klabu ya Simba unaendelea, ambapo leo kupitia mitandao yao ya kijamii wamedhibitisha kumpa mkataba mpya beki wao wa kulia Shomari...

JAGUAR AFIKISHWA MAHAKAMANI, ATAENDELEA KUSOTA RUMANDE KAMA KAWA

0
Mbunge wa Jimbo la Starehe nchini Kenya na Mwanamuziki Charles Njagua maarufu Jaguar leo Juni 27 amefikishwa mahakamani akituhumiwa kutoa lugha ya chuki dhidi...

EXCLUSIVE: KAPOMBE AONGEZA MIAKA MIWILI MIWILI SIMBA

0
Beki wa kulia wa Simba Shomari Kapombe ameongeza mkataba wa miaka miwili kuichezea timu hiyo.Makubalia hayo hayo yamefikiwa baina ya klabu ya mchezaji kuendelea...

Mimi ni shabiki wa Mtibwa na siyo Simba-Juma Kaseja

0
Wakati watu wengi wakiamini Juma Kaseja ni shabiki wa Simba Sc kutokana na yeye kucheza kwa muda mrefu katika klabu hiyo ya...