REKODI YA GARETH BALE NDANI YA MADRID TAMU KINOMA

0
REKODI  ya Gareth Bale akiwa ndani ya Real Madrid inavutia, amecheza jumla ya mechi 231 na kupachika mabao 102 huku akitoa pasi za mabao...

KMC: TUPO TAYARI KUPAMBANA KIMATAIFA

0
UONGOZI wa KMC umesema kuwa hauna mashaka na kikosi walichopangiwa nacho kucheza nao kwenye michuano ya kimataifa kwani wana uwezo wa kufanya maajabu.Ofisa Habari...

DAVID DE GEA ANUKIA KUWA NAHODHA WA UNITED

0
David De Gea anaweza kuwa nahodha wa Manchester United kutokana na moja ya kipengele kilichopo kwenye mkataba wake mpya anaotaka kusaini wa miaka sita...

YANGA: MSIMU UJAO MAMBO NI MOTO

0
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa maandalizi ya timu yanazidi kupamba moto kwa ajili ya msimu ujao.Yanga imeweka kambi mkoani Morogoro ikijipanga kwa ajili ya...

NYOTA SABA WA SIMBA KUCHOMOKA LEO KAMBINI

0
NYOTA saba wa timu ya Simba wanatarajiwa kujiunga leo na timu ya Taifa kwa ajili ya kujaanda na michuano ya Chan wakitokea Afrika Kusini.Akizungumza...

AZAM FC WASAHAU HABARI ZA KUPOTEZA KOMBE LA KAGAME HESABU ZAO ZIPO HUKU

0
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa kwa sasa hesabu kubwa ni kufanya vizuri kwenye michuano ya kimataifa.Azam FC imerejea nchini baada ya kushindwa kutetea...

KOCHA STARS: UWEZO WANGU UTAZUNGUMZA UWANJANI

0
KOCHA msaidizi wa timu ya Taifa ya Tanzania,'Taifa Stars' Seleman Matola amesema kuwa anastahili kuwa Kocha wa timu ya Taifa Kwa kuwa anauwezo mkubwa.Matola...

CAF YATIBUA PROGRAMU YA SIMBA AFRIKA KUSINI

0
PATRICK Aussems, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kutokana na ratiba ya michuano ya Ligi ya Mabingwa kutoka ni lazima afanye mabdiliko kwenye ratiba...

NYOTA WA MANCHESTER UNITED ACHEKELEA UZURI WA BONGO

0
RUUD Van Nistelrooy mchezaji wa zamani wa Real Madrid, Manchester United na timu ya Taifa ya Uholanzi ametembelea hifadhi za mali asili ya Tanzania.Kupitia...

MABINGWA WA ZANZIBAR NAO KIMATAIFA WAPO HIVI

0
MABINGWA wa Ligi Visiwani Zanzibar, KMKM nao wana kibarua cha kukwea pipa kimataifa.  KMKM wataanzia nyumbani dhidi ya Deportivo do 1 Agosto ya Angola...