KUFUATIA taarifa iliyotolewa na Ofisa Habari wa Shrikisho la Soka Tanzania (TFF), Cliford Ndimbo kueleza kuhusu hali ya beki wa timu ya Simba na timu ya Taifa Stars, Shomari Kapombe kwamba amejitonesha majeraha yake Ofisa Habari wa Simba Haji...
KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kimeanza mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na michuano ya Afcon itakayofanyika nchini Misri mwezi Juni.Stars kwa sasa imeweka kambi ya ndani kwa muda wa wiki moja ambapo baada ya kumaliza...
Mechi zote za leo za Playoff zimekamilika kwa timu zoe kutoshana nguvu huku wote wakitamba kupata matokeo mchezo wa mwisho utakaochezwa Juni 8 mwaka huu.Mechi za mwisho ndizo ziakazoamua timu ambayo itapanda daraja ama kubaki kwenye ligi kati ya...
KATIKA vitu ambavyo viliziangusha timu nyingi zilizoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2018/19 ambao ulimalizika hivi karibuni, ni suala zima la usajili.Usajili huo ni ule wa dirisha kubwa ambao ulifanyika kabla ya kuanza kwa msimu pamoja na dirisha...
Kesi inayowakabili waliokuwa viongozi wa  Simba imeshindwa kuendelea kusikilizwa baada ya shahidi aliyeandaliwa  kufiwa na kushindwa kufika mahakamani.Kesi hiyo inawakabili  hao waliokuwa viongozi wa Simba Evans Aveva na Godfrey Nyange 'Kaburu'  ambao wanakabiliwa na shitaka la kughushi na kutakatisha ...
MAHAKAMA imeshindwa kuendelea kusikiliza  kesi inayowakabili waliokuwa viongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya Serikali kushindwa kuleta shahidi.Kesi hiyo ilitarajiwa kuendelea leo Jumatatu ambapo shahidi wa 14 angetoa ushahidi wake kwenye kesi hiyo.Wakili wa Serikali kutoka Taasisi...
IMEELEZWA kuwa mlinda mlango wa Mbao FC, Metacha Mnata amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu ya Yanga.Yanga kwa sasa ipo kwenye mpango wa kusuka kikosi kipya kwa ajili ya msimu ujao ambapo kwenye sekta ya mlinda mlango walikuwa...
MSANII wa muziki wa kizazi kipya Ally Kiba, amesema kuwa mashabiki wake na watanzania wanastahili shukrani kwa kujitoa kwa hali na mali kufanikisha zoezi la mchezo wao wa hisani uliochezwa jana uwanja wa Taifa.Kiba alicheza jana uwanja wa Taifa...
BAADA ya Jana nahodha wa timu ya Tanzania, Mbwana Samatta kuongoza kikosi chake kuibuka na ushindi wa mabao 6-3 kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya ndugu zake wa timu Kiba, Samatta amewashukuru watanzania kwa kujitokeza kwa wingi.Samatta na Ally...
STRAIKA wa Arsenal, Alexandre Lacazette ameonekana katika mitaa ya jiji la Barcelona juzi na kuzua maneno. Baada ya kuonekana huko, ndio wadau wa soka wakadai kuwa Lacazette huenda ametua kukutana na viongozi wa klabu ya soka.Barcelona inajulikana inasaka straika wa kati na miongoni mwa...