Home Uncategorized STRAIKA ZESCO UNITED AMWAGA WINO WA MIAKA MIWILI YANGA

STRAIKA ZESCO UNITED AMWAGA WINO WA MIAKA MIWILI YANGA


Imeelezwa kuwa Mshambuliaji kimataifa kutoka Zambia na klabu ya Zesco United, Kalengo Maybin mwenye umri wa miaka 20, amesaini mkataba wa miaka miwili ndani ya klabu ya Yanga.

Taarifa zinasema tayari beki huyo na klabu wameshamalizana tayari kwa maandalizi ya msimu mpya ujao wa 2019/20.

Usajili huo ni moja ya mapendekezo ya Kocha, Mwinyi Zahera ambaye ameamua kukiboresha kikosi chake kurejesha ubingwa wa ligi msimu ujao.

Mpaka sasa zaidi ya wachezaji nane wapya wameshamwaga wino ndani ya Yanga.

SOMA NA HII  SIMBA:TUTAWAFURAHISHA MASHABIKI MBELE YA YANGA