Home Uncategorized BREAKING: RASMI AMUNIKE AFUNGASHIWA VIRAGO TFF

BREAKING: RASMI AMUNIKE AFUNGASHIWA VIRAGO TFF


RASMI Emmanuel Ammunike amesitishiwa mkataba wa kuinoa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’.

Taarifa rasmi iliyotumwa na TFF kwa vyombo vya Habari leo imethibitisha, imeandikwa kama ifuatavyo:-

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Kocha wa Timu ya Taifa “Taifa Stars” Emmanuel Amunike tumefikia makubaliano ya pamoja kusitisha mkataba baina yetu.

TFF itatangaza Kocha wa muda atakaekiongoza Kikosi cha Timu ya Taifa kwa mechi za CHAN.
SOMA NA HII  MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU