Home Uncategorized HIKI NDICHO WANACHOJIVUNIA STARS AFCON

HIKI NDICHO WANACHOJIVUNIA STARS AFCON

KOCHA wa timu ya Taifa, Emman

uel Ammunke amesema kuwa walichokipata kwenye michuano ya Afcon Misri ni uzoefu hivyo watafanya vema wakati mwingine.

Tanzania ilishindwa kutinga hatua ya 16 bora baada ya kupoteza michezo yote mitatu hali iliyowafanya warejee nyumbani bila pointi.

“Ushindani ulikuwa mkubwa na tumefanya kwa kadri ya uwezo wetu, kikubwa ambacho tumekipata ni uzoefu na kujiongezea hali ya kujiamini,” amesema Ammunike.

SOMA NA HII  SAMATTA KUIKOSA TUNISIA NOVEMBA 13