Home Uncategorized MRITHI WA SARRI, LAMPARD KUTANGAZWA KESHO

MRITHI WA SARRI, LAMPARD KUTANGAZWA KESHO


Mchezaji wa zamani wa Chelsea Frank Lampard atatangazwa kama kocha mpya wa kikosi cha Chelsea kuja akichukua mikoba ya Maurizio Sarri.

Sarri ametimkia kukinoa kikosi cha Juventus na tayari ameshatambulishwa.

Wengi wanampa nafasi ya kufanya vizuri kwa kigeo cha kuitambua vema timu yake hiyo ya zamani.
SOMA NA HII  MBWANA SAMATTA KAZINI TENA LEO ENGLAND

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here