Home Uncategorized VIGOGO 10 WATEULIWA NDANI YA YANGA KAMATI YA FEDHA

VIGOGO 10 WATEULIWA NDANI YA YANGA KAMATI YA FEDHA


MWENYEKITI wa Yanga, Dr. Mshindo Msolla kwa kushirikiana na Kamati ya Utendaji amewateua wajumbe 10 kuunda Kamati mpya ya Fedha na Mipango.

Orodha ya walioteuliwa ndani ya Yanga kwenye Kamati hiyo hii hapa:-

Arafat Haji nafasi ya Mwenyekiti.

Shija Richard nafasi ya Makamu Mwenyekiti.

Deo Mutta yeye ni Katibu.

Kwa upande wa wajumbe ni pamoja na :- Said Kambi, Ally Mayay, Pindu Luhoyo, Baraka Katemba, Suma Mwaitenda,Haruna Batenga na Ivan Tarimo.

SOMA NA HII  NAMUNGO YAZITAKA POINTI TATU ZA KAGERA SUGAR