Home Uncategorized YANGA: TUPO VIZURI KWA MSIMU UJAO

YANGA: TUPO VIZURI KWA MSIMU UJAO

HAFIDH Saleh mratibu wa Yanga amesema kuwa maandalizi yanaendelea vizuri mkoani Morogoro kwa ajili ya msimu ujao.

Yanga imeweka kambi mkoani Morogoro kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao unaotarajiwa kuanza Agosti 23 pia wanashiriki michuano ya kimataifa.

“Tumejipanga na kufanya maandalizi makini kwa ajili ya msimu ujao, tuna amini kuwa msimu utakuwa mgumu ndio maana tunajipanga,” amesema.

SOMA NA HII  JINSI PACOME ALIVYOINUSURU YANGA KWENYE HATARI YA WARABU