Home Uncategorized NYOMI KAMA LOTE TAIFA SIMBA DAY, TIMU ZAWASILI, WALE WA BUKU TANO...

NYOMI KAMA LOTE TAIFA SIMBA DAY, TIMU ZAWASILI, WALE WA BUKU TANO TIKETI ZIMEKATA



TIMU zote mbili Simba pamoja na Power Dynamo zimewasili uwanja wa Taifa kwa ajili ya kuhitimisha kilele cha SportPesa Simba Wiki.


Mashabiki wengi wamejitokeza uwanja wa Taifa kushuhudia mpambano mkali ambapo tayari wengi wameingia ndani na wengine wapo nje.

Wasimamizi wa Uwanja wametangaza kwamba nafasi kwa kiingilio cha shilingi 5,000 zimejaa kwa sasa.
SOMA NA HII  KOCHA YANGA ASHTUKA, AWABADILISHIA MBINU PRISONS