Home Uncategorized MAAMUZI YOTE YA UONGOZI WA MSOLLA YATAJWA KUWA MABAYA ZAIDI – VIDEO

MAAMUZI YOTE YA UONGOZI WA MSOLLA YATAJWA KUWA MABAYA ZAIDI – VIDEO


Kocha wa zamani wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema maamuzi yaliyofanywa na viongozi wa Yanga tangu kuanza kwa msimu huu ni mabaya.

Zahera ameeleza kuwa maamuzi hayo ni pamoja na kumfukuza yeye, kumuweka Boniface Mkwasa na baadae kumleta Luc Eymael ni mabaya.

Anasema yeye hakuanza vibaya ligi kwani alicheza mechi 4 na kukusanya pointi 7 kati ya 12 lakini walimuondoa.

Baadaye akaja Mkwasa ambaye naye alienda vizuri lakini ameondolewa kabla ya msimu kuisha, na sasa ameletwa kocha Luc Eymael huku timu ikionekana kusuasua.

Tazama video kamili ya Zahera akizungumza hapa chini

SOMA NA HII  VIDEO:KOCHA AS VITA AFUNGUKIA ISHU YAKE YA KUIBUKIA SIMBA