Home Uncategorized HAYA HAPA MAKUNDI YA CHAN 2020,TANZANIA YAPANGWA KUNDI D

HAYA HAPA MAKUNDI YA CHAN 2020,TANZANIA YAPANGWA KUNDI D

MICHUANO ya Chan inatarajiwa kufanyika mwezi Aprili 2020 nchini Cameroon na Tanzania imepangwa Kundi D pamoja na mataifa ya Zambia, Namibia na Guinea kwenye michuano ya Mataifa Bingwa.
Makundi yote yapo namna hii:-


SOMA NA HII  OFISA HABARI WA SIMBA AREJESHA SHUKRANI KWA MASHABIKI NA WACHEZAJI