Home Uncategorized MOURINHO AKIMBILIA KIVULI CHA MAJERUHI KISA KICHAPO CHA BAO 1-0

MOURINHO AKIMBILIA KIVULI CHA MAJERUHI KISA KICHAPO CHA BAO 1-0

BAO la Timo Werner wa RB Leipzig kwa mkwaju wa penalti dakika ya 58 mbele ya Tottenham Hotspurs lilitosha kuilaza na kiporo hicho timu ya Spurs ambayo inatakiwa kupindua meza kibabe kwenye mchezo wa marudio.

Mchezo huo wa Ligi ya Mabingwa hatua ya 16 bora ulichezwa jana, Februari 19.

Kocha wa Spurs, Jose Mourinho amesema kuwa majeruhi ya wachezaji wake muhimu ni chanzo cha yeye kushindwa kufurukuta mbele ya wapinzani hao.

Mchezo wa marudio unatarajiwa kuchezwa Machi 10,2020 na Spurs watakuwa ugenini.

SOMA NA HII  DAYNA NA PATORANKING WANA JAMBO LAO