Home Uncategorized VINARA WA KADI ZA NJANO VPL HAWA HAPA, MBAO NDANDA WANA BALAA,...

VINARA WA KADI ZA NJANO VPL HAWA HAPA, MBAO NDANDA WANA BALAA, KAGERE,MKUDE, ABDUL NDANI


LIGI Kuu Tanzania Bara bado inazidi kukata mbunga ambapo kwa sasa mzunguko wa pili unakaribia kumeguka kabla ya mzunguko wa pili kuanza.

Ndani ya mzunguko wa kwanza kuna wachezaji ambao wameonyeshwa kadi za njano na nyekundu pia orodha yao kamili ipo namna hii:-

SOMA NA HII  BEKI WA COASTAL UNION AZIPASUA KICHWA SIMBA NA YANGA