Home Uncategorized LAMPARD ACHEKELEA UWEZO WA VIJANA WAKE UWANJANI BAADA YA KUIBAMIZA LIVERPOOL MABAO...

LAMPARD ACHEKELEA UWEZO WA VIJANA WAKE UWANJANI BAADA YA KUIBAMIZA LIVERPOOL MABAO 2-0


FRANK Lampard, Kocha Mkuu wa Chelsea amesema kuwa vijana wake wanaimarika kila siku jambo linalompa matumaini ya kuendelea kuwa bora kwenye mechi zao zijazo.

Chelsea iliibamiza mabao 2-0 jana Liverpool kwenye mchezo wa FA England uliochezwa Uwanja wa Stamford Bridge unaoipa nafasi ya kusonga hatua ya robo fainai jumlajumla.


Mabao ya Chelsea yaliyofungwa na Willian dakika 13 kipindi cha kwanza na Ross Barkley 64 kipindi cha pili.

Lampard amesema: “Ni kazi ngumu kuendelea kuwa bora lakini inawezekana iwapo wote tutakuwa na jambo moja la kufanya kwa kushirikiana, ninaona vijana wanazidi kuwa bora kila iitwapo leo,”,

SOMA NA HII  MISRI YAANZA AFCON NA USHINDI MWEMBAMBA DHIDI YA ZIMBABWE