Home Uncategorized HUSSEIN MACHOZI: CORONA IMETUFANYA TUSHINDE NDANI

HUSSEIN MACHOZI: CORONA IMETUFANYA TUSHINDE NDANI


HUSSEIN Machozi Mwana BongoFleva anayeishi Italia amesema kuwa maambukizi ya Virusi vya Corona yamewafanya wajifungie ndani muda mwingi.

Machozi kwa sasa kazi zake za muziki anazifanyia nchini Italia ambapo kumekuwa na ripoti kwamba hali ya maambukizi ni kubwa.

 “Kiukweli hakuna anayethubutu kuchungulia nje, mji wote upo kimya hakuna mtu ambaye yupo mtaani kwa kuhofia kuathirika.

“Polisi nao wapo mtaani wanazunguka wakiwatafuta wale wanaodhurala mtaani ili kuwazuia wasifanye hivyo kwa lengo la kuwalinda wawe salama,” amesema.

SOMA NA HII  PAMOJA NA KUZOMEWA JUZI ...MBELGIJI WA YANGA EMESEMA HAYA KUHUYU YIKPE..!!