Home Uncategorized KIUNGO BORUSSIA DORTMUND ATAJA MABOSI WAKE WANACHOKITAKA

KIUNGO BORUSSIA DORTMUND ATAJA MABOSI WAKE WANACHOKITAKA


KIUNGO wa Borussia Dortmund, Emre Can amesema kuwa kitendo cha yeye kutua ndani ya klabu hiyo klabu inatarajia kitu kikubwa toka kwake.

 Dortmund ilinasa saini yake kutoka kwa Juventus katika usajili wa dirisha dogo la Januari msimu huu, baada ya kukosa nafasi ndani ya timu hiyo.
 Can amesema: “Kilichonileta hapa ni ubora wanataka kuangalia ubora wangu ndiyo maana nipo hapa kwa sasa.

“Nami pia nimejipanga kufanya kweli ili kuonyesha ubora wangu ambao wao wanahitaji,”.
SOMA NA HII  YANGA YAFICHUA KILICHO NYUMA YA USHINDI WAO NA MWADUI, ISHU YA MIGOGORO IPO HIVI