Home Uncategorized IGHALO HATA HAELEWI HATMA YAKE INAKUAJEKUAJE YAANI

IGHALO HATA HAELEWI HATMA YAKE INAKUAJEKUAJE YAANI


ODION Ighalo, mshambuliaji wa Manchester United ambaye yupo hapo kwa mkopo hajui hatma yake itakuaje msimu ujao.

Mkataba wake ndani ya United unameguka Mei 31 lakini anataka kubaki hapo maisha yake yote kwa kuwa anaipenda timu hiyo.

Mpango wa United ni kumuongezea mkataba ili abaki hapo ila Klabu yake ya Shanghai Shenhua inamtaka nyota huyo raia wa Nigeria.


Ighalo amesema kuwa anapenda kubaki jumlajumla ndani ya United ila anaona hawana mpango wa kumnunua.

SOMA NA HII  MBELGIJI WA SIMBA ATEGUA MTEGO WAKE KIMTINDO