Home Uncategorized LIGI KUU KUCHEZWA KWA VITUO, ISHU YA MASHABIKI IPO NAMNA HII

LIGI KUU KUCHEZWA KWA VITUO, ISHU YA MASHABIKI IPO NAMNA HII



Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Dr.Harrison Mwakyembe amesema kuwa mfumo wa Uchezaji wa Ligi katika Mpira wa Miguu ni kuwa Ligi kuu itachezwa katika Mkoa mmoja ambao ni Dar es Salaam hivyo timu zote zitacheza mkoani Dar.

Huku Ligi Daraja lA kwanza na Ligi Daraja lA Pili kituo kitakuwa ni Mwanza hivyo timu zote  zinatatakiwa kwenda Mwanza.

Michezo yote Itachezwa bila Mashabiki ila kikundi cha Mashabiki wasio zidi 20 wanaruhusiwa.

SOMA NA HII  SIMBA: TUNAPITIA KIPINDI KIGUMU KWA SASA