Home Uncategorized MASHINE HII YA KAZI YATAJWA KUTUA LEO KUMALIZANA NA YANGA

MASHINE HII YA KAZI YATAJWA KUTUA LEO KUMALIZANA NA YANGA

 Mshambuliaji mghana, Michael Sarpong anatarajiwa kutua nchini Tanzania leo akitokea nchini Ghana kuja kumalizana na Klabu ya Yanga.


Kwa sasa Yanga inajiimarisha kwa kusajili wachezaji wapya pamoja na kuboresha mikataba ya wachezaji wake wa zamani ili kuzidi kuwa na kikosi imara kwa ajili ya msimu wa 2020/21.


Jana iliwashusha wachezaji wawili kutoka Congo ambao ni pamoja na Tuisila Kisinda, Tonombe Mukoko kwa dili la miaka miwili wote wametokea Klabu ya AS Vita.

SOMA NA HII  MKUDE ATOA TAMKO KUHUSU HATMA YAKE NDANI YA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA