Home Uncategorized VPL: JKT TANZANIA 0-3 SIMBA

VPL: JKT TANZANIA 0-3 SIMBA

 

JKT Tanzania 0-3 Simba

Uwanja wa Jamhuri, Dodoma

Zinaongezwa 2
Dakika ya 45 zimekamilika
Kipindi cha Kwanza dakika ya 43 Kagere anapewa huduma ya Kwanza.

Kipindi cha Kwanza mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya JKT Tanzania dhidi ya Simba, Uwanja wa Jamhuri.


Simba inaongoza kwa mabao 3-0 ikiwa ni kipindi cha Kwanza.


Mabao ya Simba yamefungwa Meddie Kagere dakika ya 5 ,40 na Chris Mugalu dakika ya 6.

SOMA NA HII  JEMBE AWASHUKURU WASOMAJI WAKE WAKATI AKIONGEZA MWAKA MWINGINE