Home Habari za michezo SIMBA HAKUNA KUPOA KUSEPA LEO JIONI KUWAFUATA AL AHLY

SIMBA HAKUNA KUPOA KUSEPA LEO JIONI KUWAFUATA AL AHLY

Jezi mpya za Simba leo

Kikosi cha Simba SC kinatarajia kuondoka nchini jioni hii ya leo Oktoba 21, 2023 kuelekea nchini Misri kwa ajili ya kuvaana na Al Ahly.

Simba wanakwenda Misri kuvaana na Al Ahly baada ya kulazimishwa sare ya goli 2-2 kwenye mchezo wa robo fainali ya kwanza ya mashindano ya African Footbal League.

“Tunakwenda Misri sio kinyonge maana hakuna cha kututisha, tulicheza vizuri hapa nyumnani lakini matokeo yametusaliti lakini tunakwenda kule kumalizia kazi,” alisema Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba Ahmed Ally.

SOMA NA HII  SIMBA HAKUNA KUPOA, WAPITILIZA KAMA UTANI