Dili la mchezaji wa Simba Willy Esomba Onana huenda lisitimieΒ baada ya Uongozi na kamatiΒ ya usajili kuanza kumjadiliΒ kwa kina mchezajiΒ huyo.
Vilabu vya Qatar huwa vinapendekeza mchezaji wanayemtaka kumsajili kisha kuna kamati hukaa chini kumjadili mchezaji na kuchukua uamuzi wa mwisho.
Kuna baadhi ya vitu huangalia kama vile:
-
fomu ya wachezaji
-
malengo + usaidizi
-
rekodi za matibabu au majeraha
-
nk