Home Habari za Simba Leo MANULA AMUULIZA MASWALI MAZITO SPIDER MAN CAMARA

MANULA AMUULIZA MASWALI MAZITO SPIDER MAN CAMARA

habari za simba-manula

MLINDA Mlango wa Simba Aishi Salim Manula yupo kwenye kiwango bora kwenye mchezo huu dhidi ya Al Hilal na amekuwa na utulivu pale timu inapoanza kufanya ‘build up’ kwaanzia kwe lango lake kwenda kwa timu pinzani.

Manula Amefanya Saves mbili za hatari ambapo moja ikiwa ni 1 v1 na kutoruhusu lango lake kuguswa mpaka kufikia hivi sasa.

Aishi Manula bado anaform nzuri….na anatuma salam kwenda kwa nyanda namba moja kwa sasa wa Simba, Moussa Camara Pin Pin ambaye  ameitwa timu ya taifa.

Simba inacheza mchezo wa kirafiki hivi  sasa dhidi ya Al Hilal katika uwanja wa KMC Complex Mwenge, ambapo habari njema ni mshambuliaji  mpya wa timu hiyo Leonel Ateba amefunga bao lake la kwanza akiwa Simba.

SOMA NA HII  BREAKING NEWS...SIMBA YAMUACHA SAIDOO...SABABU ZATAJWA.