Home Habari za Simba Leo FADLU APATA UBARIDI KARIAKOO DABI

FADLU APATA UBARIDI KARIAKOO DABI

HABARI ZA SIMBA NA YANGA

KOCHA MKUU wa Simba SC Fadlu Davids ameonesha kupatwa na hofu, kuelekea mchezo wa Kariakoo dabi dhidi ya watani zao Yanga.

Fadlu ameonesha hali hiyo mara baada ya kutoa sare ya 2-2 dhidi ya Coastal Union, siku ya Jana Ijumaa ya Tarehe 4 Oktoba.

“Dabi hii itakuwa ni moja ya Dabi nzuri ambazo hatukuziona kwa muda mrefu”- Fadlu Davids.

“Tuna kazi ngumu ya kufanya kuelekea Dabi, ugumu uliopo kuna wachezaji wanaenda timu zao za taifa na tunaobaki tunatakiwa kujiandaa na tuwe tayari kwa mchezo.” – Fadlu Davids.

SOMA NA HII  KMC FC YAPITA NA MCHEZAJI HUYU WA SIMBA...NI STOPPER WA DUNIA