Home Habari za Simba Leo FEISAL AIKATAA MIL 50 YA AZAM FC….WAMUWEKEA MAMILIONI MEZANI

FEISAL AIKATAA MIL 50 YA AZAM FC….WAMUWEKEA MAMILIONI MEZANI

habari za simba

Feisal Salum kiungo wa mpira amekutana na mabosi wa Azam FC siku ya Jana Ijumaa, ili kujadili muafaka wake katika viumga vya Azam Complex Chamazi.

Inaelezwa Feisal Salum hayupo tayari kuongeza mkataba mwingine na Azam FC, kwa mujibu wa taarifa Feisal Salum yupo tayari kusaini kama atalipwa millioni 70 ili kupita kiwango anacholipwa Blanco ambae analipwa millioni 50.

Hadi sasa Klabu ya Simba inaongoza kuwa na mahitaji makubwa na Feisal Salum na tayari kuna mawasiliano yanaendelea, Simba Sports Club inamuhitaji Feisal Salum dirisha dogo na ikishindikana dirisha kubwa la usajili.

SOMA NA HII  KAKOLANYA AWAVURUGA MABOSI SIMBA.....SINGIDA BIG STARS 'WAMTUPIA' DONGE NONO LA USAJILI...