Home Habari za Simba Leo SIMBA YA MO DEWJI NI UBAYA UBWELA.

SIMBA YA MO DEWJI NI UBAYA UBWELA.

Habari za Simba

BAADA ya klabu ya Simba kumtambulisha rasmi winga wa Kimataifa wa DR Congo Ellie Mpanzu, baada ya kusajiliwa kwa mkataba wa miaka miwili ambaye tayari ameanza kufanya mazoezi na Simba pale kwenye kambi ya Mnyama.

Mfumo wa Simba kwa sasa unaweza ukawa kama hivi;

Pale juu atakaa Lionel Ateba Mbida kama ilivyo kawaida mwenye miaka 25, halafu nyuma yake atasimama Jean Charles Ahoua mwenye miaka 22, halafu Mido mbili za chini ni Deborah Fernandez Mavambo mwenye miaka 24 atasimama na Yusuph Kagoma mwenye miaka 28.

Huko pembeni sasa ni Kibu Denis Prosper ama Football Pythagorus mwenye miaka 25 halafu ubavu anamaliza Ellie Mpanzu Kibisawala mwenye miaka 23 pekee.

Kwenye hichi kikosi Mutale akae mbali kabisaa! Hapo nje bado una Awesu Awesu, una Okejepha una Ladack Chasambi.

SOMA NA HII  ROBERTINHO:- TUSITAFUTE MCHAWI....SIKUHUSISHWA KWENYE USAJILI WA SIMBA...RAJA WALIKUWA BORA MNOO...