admin
BALAA LA DAVID MOLINGA NDANI YA LIGI LIPO NAMNA HII
DAVID Molinga ni mshambuliaji ambaye amekuwa na balaa ndani ya uwanja licha ya wengi kuamini kwamba ni mzito akiwa uwanjani kutokana na kudaiwa kuwa...
JONAS MKUDE AFUNGUKA HALI YAKE ..AWAOMBA MASHABIKI KUMUOMBEA
Kiungo wa Simba, Jonas Mkude amesema hali yake bado ni mbaya na kuwaomba mashabiki wake waendelee kumuombea ili afya yake iimarike.Mkude aliumia juzi jioni...
HAJI MANARA ATAJA SIKU YA KUACHA KAZI NDANI YA SIMBA
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Klabu ya Simba amesema kuwa ataacha kazi yake ndani ya klabu hiyo siku Yanga itakapochukua ubingwa.Manara amesema kuwa kikosi...
HALI YA MKUDE BADO HAIJAWA SHWARI, KOCHA HAELEWI ATAREJEA LINI UWANJANI
SVEN Vandebroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa bado kwa sasa ni ngumu kuzungumza hali ya kiungo wake Jonas Mkude ambaye aliumia Juni 8,...
HIVI NDIVYO POGBA ATAKAVYOCHEZA KIKOSI CHA KWANZA NA BRUNO
OLE Gunnar Solskjaer, Kocha Mkuu wa Manchester United amepanga kumtumia jumlajumla kiungo wake Paul Pogba sambamba na Bruno Fernandes kiungo mpya ambaye aliletwa ndani...
YANGA,SIMBA ZAGAWANA MAJEMBE YA AS VITA, NDANI YA SPOTI XTRA ALHAMISI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la SPOTI XTRA Alhamisi
KILICHOMKUTA EYMAEL WA YANGA AIRPORT HIKI HAPA,BEI YA MO KUSAJILI VIUNGO,...
Kesho ndani ya Gazeti la SPOTIXTRA Alhamisi, usikose kupata nakala yako kwa jero tu, nafasi ya kushinda ndiga ni yako
PICHA LA MBELGIJI WA YANGA KUTUA BONGO LILIKUWA NAMNA HII
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga leo ametua nchini Tanzania akitokea nchini Ubelgiji alikokuwa kwa ajili ya mapumziko ya lazima yaliyotokana na Virusi vya...