Home Authors Posts by admin

admin

24371 POSTS 9 COMMENTS

SADIO MANE NI ANA BALAA NDANI YA LIVERPOOL

0
SADIO Mane, mshambuliaji wa kikosi cha Liverpool amesema kuwa furaha yake ni kuona timu yake inashinda kwenye michezo wanayocheza kwa sasa kutokana na ushindani...

LIVE: SIMBA 2-1AZAM FC

0
UWANJA wa Taifa kwa sasa mchezo unaoendelea ni kati ya Simba dhidi ya Azam FC.Huu ni mchezo wa ngao ya Jamii, Simba inaongoza kwa...

REKODI ZA MBRAZIL WA YANGA BADO ZINAPETA TU BONGO

0
NGAO ya jamii kwenye jumla ya mechi 11 zilizochezwa tangu 2001 mabao 22 tu yamefungwa.Katika mabao hayo hakuna hat trick hata moja mpaka sasa...

YANGA NI BALAA, YAIKIMBIZA SIMBA NA AZAM KINOMA

0
TANGU mwaka 2001 ambapo mechi za Ngao ya jamii zilianza kuchezea hapa nchini tayari zimechezwa mechi 11.Yanga inaoongoza Kwa kucheza mechi nyingi ambazo ni...

SIMBA NA AZAM FC LEO NI MWENDO WA KUTAFUTA REKODI MPYA...

0
MARA ya mwisho, Simba na Azam FC zilimenyana kwenye mchezo wa ngao ya jamii Septemba 11, 2012 na Simba ikashinda mabao 3-2.Simba imetwaa ngao...

KWENYE NGAO YA JAMII AZAM FC INAPATA TAABU KINOMA

0
JUMLA ya mechi 11 zimechezwa mpaka sasa kwenye ngao ya jamii kwa timu za Bongo zinazoshiriki Ligi Kuu Bara. Kikosi cha Azam FC kimecheza...

ARSENAL WASHINDA KIBABE MBELE YA BURNLEY, YAJIPIGIA VIDUDE VIWILI

0
MSHAMBULIAJI wa Arsenal, Pierre Aubameyang amesema kuwa anajiskia furaha kwa timu yake kushinda leo mbele ya Burnley mchezo wa pili wa Ligi Kuu England...

KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA AZAM FC HIKI HAPA, NI MOTO...

0
Kikosi cha Simba kitakachoanza dhidi ya Azam FC, mchezo wa Ngao ya Jamii1. Beno Kakolanya 2. Shomary Kapombe 3. Gadiel Michael4. Erasto Nyoni5. Pascal Wawa 6. Jonas...

HILI HAPA JESHI KAMILI LA AZAM FC LEO DHIDI YA SIMBA

0
JESHI la Azam FC leo dhidi ya Simba mchezo wa ngao ya Jamii uwanja wa Taifa
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS