Home Authors Posts by admin

admin

24903 POSTS 9 COMMENTS

KOCHA STARS: MDOGOMDOGO TUNATUSUA CHAN

0
SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa timu ya Taifa ya Tanzania, amesema kuwa atashirikiana na bosi wake mkubwa Ettiene Ndayiragije kuifanya Stars kufanya maajabu michuano...

EVERTON INAVUTIWA NA EVERTON WINGA ANAYEKAMILISHA DILI LAKE KUTUA ARSENAL

0
ARSENAL ipo kwenye mazungumzo ya mwisho na nyota wa Gremio raia wa Brazil, Everton Soares.Winga huyo mwenye miaka 23 ameongeza thamani yake baada ya...

AJIBU ALALA HOTELI YA ROONEY SAUZI

0
WAKATI Jeshi zima la Simba likiwa linaendelea kujifua kwenye kambi yake nchini Afrika Kusini, imebainika kuwa sehemu hiyo ambayo Simba wameweka makazi paliwahi kukaliwa...

BIGIRIMANA AANZA KUITISHA SIMBA

0
KIUNGO mshambuliaji mpya wa Yanga Mnyarwanda, Issa Bigirimana ‘Walcott’ amesema kuwa katika kuthibitisha ubora wa ufungaji anaanza na AS Vita wanafuatia watani wao Simba.Staa...

YANGA YAZIDI KUWA YA MOTO, YAITWANGA MORO KIDS 2-0, BALINYA ATUPIA

0
Mabao ya Balinya na Paul Godfrey yameiwezesha Yanga kuibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Moro Kids leo mjini Morogoro.Bao la Balinya limepatikana kwa...

IGHALO SHUJAA WA NIGERIA ANAYENUKIA KUTWAA KIATU CHA UFUNGAJI BORA AFCON

0
ODION Ighalo mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Nigeria anatazamiwa kumaliza michuano ya Afcon inayoendelea nchini Misri akiwa mfungaji bora.Ighalo ni shujaa wa Nigeria...

JUMA KASEJA AFICHUA SIRI YA KUDUMU KWENYE UBORA WAKE

0
JUMA Kaseja, mlinda mlango namba moja wa kikosi cha KMC ambaye ameitwa pia kwenye kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania kitakachocheza michuano ya...

SIMBA NI MWENDO WA DOZI TU AFRIKA KUSINI

0
SIMBA hawataki utani msimu wa 2018-19, wakati Meddie Kagere, Francis Kahata, Deo Kanda na Sharaf Shiboub wakinogesha kambi leo tena dozi imeendelea kama kawaida.Simba...

AZAM FC WATAKA KUCHEZA MECHI MBILI TU KAGAME

0
ETIENNE Ndayiragije, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa kwa sasa hakuna wanachofikiria zaidi ya ubingwa.Azam FC imetinga hatua ya nusu fainali baada ya...

POLISI TANZANIA YABAKISHA WAWILI TU KWA SASA

0
SELEMAN Matola Kocha wa Polisi Tanzania amesema kuwa bado wachezaji wawili ili akamilishe kukisuka kikosi chake kipya.Matola amesema kuwa hadi sasa amesajili wachezaji 11...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS