admin
AJIBU AKIONA CHA MOTO SAUZI
AKIWA Rustenburg, Afrika Kusini kiungo mshambuliaji mpya wa Simba, Ibrahim Ajibu na Francis Kahata wamekiona cha moto ni baada ya Kocha Mbelgiji, Patrick Aussems...
YANGA YATANGAZA MECHI NNE ZA MAAJABU
YANGA imetangaza kwamba mwezi Agosti na Septemba watakuwa na mechi nne za kuonyesha ubora wao Afrika lakini hapa kambini pamenoga. Ligi ya Mabingwa Afrika...
LIGT AUNGANA NA CR7 JUVENTUS, ASAINI MIAKA MITANO
Klabu ya Juventus imekamilisha usajili wa beki wa kimataifa wa Uholanzi Matthijs de Ligt.Beki huyo kutoka Ajax amekamilisha usajili huo kwa dau la euro,...
MANCHESTER UNITED: HAKUNA OFA YA PAUL POGBA
OLE Gunnar Solskjaer, meneja wa Manchester United amesema kuwa bado atabaki na nyota wa kikosi hicho Paul Pogba na anaweza kumfanya akawa bora zaidi...
HUYU NDIYE ALIYE NYUMA YA USAJILI WA NYOTA WA SIMBA FRANCIS...
FRANCIS Kahata kiungo mpya wa Simba amesema kuwa miongoni mwa wachezaji ambao wamechangia kumshawishi ajiunge ndani ya kikosi hicho ni mshambuliaji Meddie Kagere.Kahata amejifunga...
REAL MADRID KUUZA NYOTA WATANO KUMPATA NYOTA WA MANCHESTER UNITED
REAL Madrid ipo kwenye mpango wa kuwauza nyota wake watano ili kupata pauni milioni 200 kwa ajili ya kumnunua kiungo wa Manchesster United, Paul...
LEICESTER CITY YAZIKAZIA MANCHESTER CITY NA UNITED KWA BEKI WAO
BRENDAN Rodgers bosi wa Leicester City amethibitisha kwamba tayari timu yake imeachana na ofa za timu mbili ambazo zilikuwa zinahitaji huduma ya beki wao...
MZEE KILOMONI WALA HAJAPOA, AJA NA TAMKO LINGINE ZITO JUU YA...
Mzee Hamis Kilomoni ambaye mpaka sasa amekuwa akisisitiza kuwa hajaondolewa kwenye Baraza la Wazee wa Simba, amefunguka na kusema hatishwi na kauli za viongozi...
KIONGOZI YANGA AACHANA NA SOKA, AKIMBILIA KWENYE MUZIKI, ADAI SOKA HALILIPI
Ikiwa ni takribani siku kadhaa sasa zimepita tangu kuachia ngazi kwa aliyekuwa Kocha wa Makipa wa Yanga, Juma Pondamali 'Mensa', mchezaji huyo wa zamani...
SONSO AVUNJA UKIMYA, AAMUA KUFUNGUKA BAADA YA KUTEMWA STARS NA NDAYIRAGIJE
Mchezaji wa zamani wa Lipuli na sasa Yanga, Ally Sonso anayecheza nafasi ya beki, ameibuka na kueleza hana kinyongo kuhusiana na kutoitwa katika kikosi...