Home Authors Posts by admin

admin

24903 POSTS 9 COMMENTS

KAGERE AKIMBILIA GYM

0
Wakati  Yanga wakianza mazoezi ya pamoja Jumatatu iliyopita kwa ajili ya kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu Bara, mshambuliaji wa Simba Mnyarwanda, Meddie...

TAMBWE AMPA MAAGIZO ZAHERA

0
Amis Tambwe amepaza sauti kutoka Burundi hadi Tanzania akimtaka Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera amrudishie kitambaa cha unahodha beki Kelvin Yondani.Yondani alipewa kitambaa cha...

KOCHA MPYA YANGA AANZA KAZI NA KINDOKI

0
KOCHA wa makipa ndani ya Yanga, Peter Manyika amesema kuwa ameanza kazi na mlinda mlango Klaus Kindoki ambaye msimu uliopita mashabiki hawakumkubali kutokana na...

JOSE MOURINHO ASAKA TIMU YA KUFUNDISHA ADAI ANA HASIRA NA KAZI

0
JOSE Mourinho kwa sasa anafikiria kurejea kwenye benchi la ufundi akiwa ni meneja endapo atapata timu sahihi.Mourinho mwenye miaka 56 amekuwa bila timu kwa...

TAMBWE AMEMTUMIA UJUMBE HUU ZAHERA KUHUSIANA NA YONDANI

0
Tambwe amepaza sauti kutoka Burundi hadi Tanzania akimtaka Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera amrudishie kitambaa cha unahodha beki Kelvin Yondani.Yondani alipewa kitambaa cha unahodha...

KESI YA MALINZI NGOMA BADO MBICHI, UAMUZI WA KESI SASA JULAI...

0
Hatimaye kesi inayomkabili aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania, Jamal Malinzi na wenzake upande wa Serikali  umefunga ushahidi rasmi na  mahakama inatarajiwa  kutoa uamuzi  Julai 23, mwaka...

AJIBU AAMUA KUELEZA UKWELI, ATAJA SABABU ZA KUIPIGA CHINI TP MAZEMBE

0
Mshambuliaji wa Simba Ibrahim Ajibu ameamua kueleza ukweli juu ya suala la kuikacha TP Mazembe.Wakati akiwa Yanga Ajibu alikuwa anhitajika Mazembe lakini Simba walimuwahi...

WACHEZAJI YANGA WAPIGWA STOP

0
Kocha Msaidizi wa Yanga, Noel Mwandila amewazuia wachezaji wake kuzungumza chochote na waandishi wa habari.Mwandila amewazuia wachezaji wake na badala yake amewataka waelekeze nguvu...

KESI YA MALINZI NGOMA BADO MBICHI, UAMUZI WA KESI SASA JULAI...

0
HATIMAYE kesi inayomkabili aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania, Jamal Malinzi na wenzake upande wa Serikali  umefunga ushahidi rasmi na  mahakama inatarajiwa  kutoa...

SIMBA HAWAPOI, WABAINISHA MALENGO YA TIMU MSIMU UJAO

0
UONGOZI wa Simba umesema kuwa malengo makubwa kwa msimu ujao ni kuleta ushindani mkubwa utakaoifanya klabu kuwa ndani ya timu tano kubwa barani Afrika.Simba...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS