Home Authors Posts by admin

admin

24628 POSTS 9 COMMENTS

MGUNDA WA COASTAL UNION ATAJA IDADI YA WACHEZAJI ATAKAOWASAJILI

0
KOCHA wa timu ya Coastal Union, Juma Mgunda amesema kuwa kwa sasa kikosi chake kinahitaji kusajili wachezaji sita ambao wataongeza nguvu ndani ya kikosi...

YANGA WAIRAHISISHIA SIMBA KAZI KWA AJIBU, ARUHUSIWA KUONDOKA – VIDEO

0
MAKAMU Mwenyekiti wa Yanga, Fredrick Mwakalebela,  leo Juni 20, 2019,  akiongea na wanahabari makao makuu ya klabu hiyo,  ametoa kauli kuhusu mchezaji Ibrahimu Ajibu,...

ALLIANCE FC WATANGAZA HATMA YA KOCHA WAO MALALE HAMSINI

0
UONGOZI wa Alliance FC umesema kuwa kwa sasa wanamsubiri kocha wao Malale Hamsini asaini kandarasi mpya ili aendelee na kazi kwani msimu uliopita alifanya...

JEZI ZA STARS ZAGOMBEWA KAMA NJUNGU, WADAU WAJITOKEZA KUISAPOTI IFANYE KWELI...

0
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu leo Juni ameendesha harambee maalum ya kuichangia timu ya taifa (Taifa Stars) katika...

AZAM FC WAIKOMALIA KAGAME, SASA NGUVU ZAO WAMEWEKEZA HUKU

0
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa kwa sasa hesabu kubwa ni kukiandaa kikosi cha ushindani kitakachofanya vema kwenye michuano ya Kagame inayotarajiwa kuanza mwezi Julai...

YANGA YAWEKA MSIMAMO WAKE KUHUSIANA NA AJIBU, NI MOJA AU MBILI

0
Baada ya ukimya wa muda mrefu, hatimaye leo uongozi wa klabu ya Yanga umetoa msimamo wake kuhusiana na kiungo Ibrahim Ajibu Migomba.Yanga imesema mkataba...

SIMBA YAMSAINISHA MKATA UMEME KUTOKA AL HILAL YA SUDAN

0
Simba imeamua kujiimarisha zaidi katika sehemu ya kiungo cha ukabaji kwa kuvuka mipaka hadi nchini Sudan ambako imemsajili kiungo Bora mara mbili mfululizo wa...

MAJEMBE YA KAZI 11 YAMALIZANA FASTA NA MATAJIRI WA BONGO AZAM...

0
KAZI bado inaendelea kwa sasa ndani ya kikosi cha Azam FC ambapo kwa sasa Azam FC nao wanaendelea na kazi ya kuongeza nguvu ya...

WANA KINONDONI BOYS ‘KMC’ HAWALALI, WASAJILI MASHINE SABA MIAKA MITATU

0
UONGOZI wa KMC umeendelea kuongeza makali ndani ya kikosi chao baada ya kuwapiga pini jumla ya nyota wao saba ndani ya kikosi hicho kwa kandarasi...

SIMBA HAWAPOI MTINDO WAO KIMYAKIMYA, MASHINE ZAO SABA KAMA SAA SABA

0
MABINGWA watetezi Simba hawapo nyuma kenye usajili kama ilivyo kwa wapinzani wao wa jadi Yanga namna wanavyoshusha mashine mpya.Msimu huu wao wamekuja na utaratibu mpya...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS