Home Authors Posts by admin

admin

24371 POSTS 9 COMMENTS

EXCLUSIVE: USAJILI WA BIGIRIMANA WAZUA MSALA YANGA, APR KUCHUKA HATUA ZA...

0
Katibu Mkuu wa APR ya Rwanda Adolphe Kalisa, amefunguka kwa kusema kuwa ameshangazwa na Yanga kwa kumsajili mchezaji wake Issa Birigimana bila kufuata taratibu.Kalisa...

SAMATTA ATANGAZA KUREJEA SIMBA

0
Straika tegemo katika timu ya KRC Genk inayoshiriki Ligi Kuu Ubelgiji, Mbwana Samatta, amesema kuwa endapo atamaliza harakati za maisha yake ya soka atarejea...

HII SASA KAZI, AJIBU ATAKIWA NA BOSS WAKE KUTAJA SABABU ZINGINE...

0
Kocha Mkuu wa Yanga Mkongomani, Mwinyi Zahera amesema kuwa kiungo wake mshambuliaji, Ibrahim Ajibu atafute sababu nyingine iliyomzuia kujiunga TP Mazembe ya DR Congo...

JINGINE LAIBUKA JUU YA MKATABA WA GADIEL YANGA, MILIONI 40 ZATAJWA

0
YANGA wamejiwekea msimamo kwamba wachezaji wote wazawa kila mmoja mkwanja wake wa usajili usizidi Sh.Mil 30 lakini kuna baadhi wanaweza kuwafi kiria kidoogo.Gadiel Michael...

YANGA WATOA TAMKO JINGINE JUU YA NDEMLA NA MKUDE

0
Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, ametamka kuwa hana mpango na viungo wa Simba, Jonas mkude na Said Ndemla ingawa baadhi ya viongozi wanawatamani.Kauli...

Salimu Aiyee na kiboko ya Simba Sc wapo mtegoni.

0
Kagera Sugar na Mwadui Fc zimeingia katika hatua ya mtoano dhidi ya timu za ligi daraja la kwanza ili kuamua nani atabaki...

TPL NDO ISHAISHA HIVYO, HIYO RATIBA YA FA INATISHA

0
BINGWA ndo kama alivyoshinda na Ligi Kuu Bara imemalizika huku timu nyingi zikiwa zimeambulia maumivu makubwa msimu huu.Ilikuwa ni aina moja ya ligi iliyokuwa...

BEKI SIMBA ASAINI YANGA

0
Uongozi wa klabu ya Yanga umemalizana na beki Lamine Moro kwa kusaini mkataba wa miaka miwili.Moro ambaye ni raia wa Ghana, ambaye aliwahi kuja...

YALIYOTOKEA MSIMU HUU YASIJIRUDIE KESHO, WACHEZAJI WAFUNDISHE ‘FAIR PLAY’ UWANJANI

0
LIGI Kuu Bara imeisha kiubishi kwa kuwa tumeshuhudia namna ilivyokuwa inakwenda kwa mwendo wa kuchechemea ila mwisho wa siku mshindi kapatikana.Simba anapaswa pongezi kwa...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS