admin
KIPA AGOMEA MKATABA SIMBA / KABWILI SAMATTA MFANO WA KUIGWA –...
Kipindi cha Spoti House kimeendelea tena, pata nafasi ya kuwasikiliza wachambuzi mbalimbali wa mabo ya soka kuhusiana na mpira wa miguu.
KAGERA SUGAR: TUNABAKI TPL, TABU IPO PALEPALE
UONGOZI wa Kagera Sugar umesema kuwa hamna namna ya kuwazuia kubaki ndani ya Ligi Kuu msimu ujao kutokana na hasira walizonazo za kubaki ndani...
MWADUI KUIKOMALIA GEITA FC, YAGOMA KUSHUKA MAZIMA TPL
MSHAMBULIAJI wa Mwadui FC,ambaye ni kinara wa utupiaji mabao kwa wazawa ndani ya ligi kuu msimu wa 2018/19 Salim Aiyee amesema kuwa watapambana kupata...
SERIKALI YAIPA BARAKA STARS, WAZIRI AIKABIDHI BENDERA
Serikali kupitia Naibu Waziri wa Habari, Sanaa Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza imekabidhi rasmi Bendera ya Taifa kwa Nahodha wa kikosi cha timu ya...
RUVU SHOOTING YAPANIA KUSUKA KIKOSI CHA MAANGAMIZI
OFISA Habari wa kikosi cha Ruvu Shooting, Masau Bwire amesema kuwa kwa sasa wanajipanga kusuka upya kikosi cha maangamizi msimu ujao ili wafikie malengo.Ruvu...
Samatta anatafutwa EPL
Mtandao maarufu wa The Sun wa nchini Uingereza umeripoti kuwa klabu nne zinahitaji huduma ya Mtanzania Mbwana Samatta (26) anayeichezea klabu ya...
RAIS CAF AKAMATWA NA POLISI AKIWA HOTELINI
Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Ahmed Ahmed amekamatwa na Polisi wa kuzuia rushwa nchini Ufaransa.Ahmad amekamatwa akiwa Hotelini Mjini Paris, Ahmed...
VIDEO: MRITHI WA MAKAMBO KUTUA YANGA – VIDEO
Mshambuliaji nyota wa timu ya Taifa ya Namibia, Sadney Urikhob yuko katika hatua za mwisho kujiunga na Klabu ya Yanga.Wakati Urikhob akijiandaa kutia saini...
KMC WAIPA AZAM FC KOCHA
UONGO ZI wa wa timu yamanispaa ya Kinondoni, KMC umesema kuwa hauna tatizo na kocha Etienne Ndayiragije iwapo atahitaji kuondoka kwani ni maisha ya soka yalivyo.Imeelezwa...
AZAM KUIFUMUA YANGA, KMC
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa utamtangaza kocha wa kikosi hicho hivi karibuni huku akidokeza kuwa anatoka ndani ya Ligi ya bongo.Ofisa Mtendaji Mkuu...