Marce Ben Komba
KUMBE BENCHIKAH ALIOGOPA KUIHARIBU SIMBA…”HATUWEZI KUMZUIA…AHMED ALLY AFUNGUKA
Klabu ya Simba imesema kuwa aliyekuwa kocha wao, Abdelhak Benchikha aliomba tangu mapema kuwa aachane na timu hiyo ili aende nyumbani kwao nchini Algeria...
ISHU YA AFCON 2027…MWANA FA AINGILIA KATI…TIMU TATU HATARI KUUNDWA
Serikali ina mpango wa kuunda timu tatu imara za soka za Taifa kulingana na umri ambazo zitashiriki mashindano ya Afcon 2027 na mengine ambayo...
KAKOLANYA AFUNGUKA A-Z ISHU YAKE NA SINGIDA…”SIKUONDOKA SIKU YA MECHI
Kipa wa Singida Fountain Gate FC, Beno Kakolanya amefunguka kuhusu taarifa iliyotolewa na klabu hiyo kuwa ametoroka kambini siku ya mchezo wa Ligi baina...
SIMBA YAENDELEA KUIBURUZA YANGA CAF…VIWANGO VIPYA VYATOKA…LIST KAMILI HII HAPA
Kwa mujibu wa mtandao wa africasoccerzone msimamo mpya wa orodha ya vilabu bora Afrika umetoka baada ya michezo ya Nusu Fainali za CAF Champions...
KIUNGO HUYU MSHAMBULIAJI YANGA HALI TETE…MCHAKATO WAANZA KUTIMKIA TIMU HII
Bingwa wa Championship 2023-24 Kengold FC imeanza mchakato wa kuwania saini ya kiungo mshambuliaji wa Yanga SC Farid Mussa kwa ajili ya kujiunga na...
DUH!!! HII SASA KALI RAIS YANGA AWAPIGA DONGO SIMBA…”UNATIMUA WACHEZAJI KWA...
Rais klabu ya Yanga, Hersi Said amesema wakati wa usajili kama muhusika asipokuwa na uelewa kuhusu wachezaji anaweza kumsajili hovyo ama kufukuza wachezaji bila...
WASHAMBULIAJI TAIFA STARS WAZUA HOFU HII…JUMA MGUNDA AFUNGUKA HAYA
Wakati zikibaki siku 45 kabla ya mchezo wa kuwania kufuzu fainali za Kombe la Dunia dhidi ya Zambia kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, mwenendo...
BENCHIKAH KUREJEA TENA SIMBA…AFANYA KAZI SIKU 156 TU…ASHANGAZWA NA MASHABIKI
Aliyekuwa Kocha Simba SC, Abdelhak Benchikha amesema kuwa ipo siku atarejea tena Tanzania kuja kuinoa Simba Sc licha ya kuvunja mkataba na kuondoka klabuni...
MASTAA HAWA HALI TETE SIMBA…CHAMA NA TSHABALALA WATAJWA…ISHU NZIMA IKO HIVI
Kuna mastaa wapo Simba wameonja raha na karaha, wakati timu hiyo inachukua mataji manne mfululizo, walikuwepo na ilipokosa mataji kwa mara mbili mfululizo (2021/22...
KUMBE YANGA WATUMIA MBINU HII KUFANYA USAJILI…RAIS AFUNGUKA KILA KITU A-Z
Rais wa Klabu ya Young Africans, Eng. Hersi Said amesema kuwa kila mchezaji mkubwa anataka kwenda kucheza kwenye klabu hiyo kutokana na malengo makubwa...