Home Authors Posts by Staff Desk

Staff Desk

1810 POSTS 0 COMMENTS

UPDATE : INONGA HAJAVUNJIKA HALI YAKE IKO HIVI

0
Taarifa mpya kutoka ndani ya Simba SC ni kwamba beki wao Henock Inonga anaendelea vizuri na kwamba hajavunjika. Inonga aliumia kwenye mchezo dhidi ya Coastal...

INONGA HALI TETE AKIMBIZWA HOSPITALI

0
Beki kisiki wa Simba SC, Henock Inonga amejikuta akikimbizwa hospitali baada ya kupata majeraha wakati wa mechi dhidi ya Coastal Union inayoendelea leo Septemba...

KWA HILI GAMONDI AMPE HEKO KAZE

0
Ilikuwa mechi nzuri ya Ligi Kuu ya NBC, Yanga dhidi ya Namungo huku Yanga akishinda mchezo wa tatu mfululizo na kushinda mechi zote na...

BALEKE ATOA AHADI HII LEO DHIDI YA COASTAL UNION…

0
Straika wa Simba SC, Jean Baleke amesema leo, watawashushia mvua ya magoli Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Simba SC anashuka dimbani...

TSHABALALA,KAPOMBE HALITETE WASAIDIWE

0
Kocha wa Zamani wa Simba SC Jamhuri Kiwelu Julio amefunguka kuhusu swala la mabeki waaandamizi Shomary Kapombe na Mohammed Hussein kuwa wamechoka yeye anaamini...

YANGA YAPATA MAJANGA, LOMALISA OUT

0
Daktari wa Klabu ya Yanga, Moses Etutu, amebainisha kwamba, beki wa kushoto wa timu hiyo, Joyce Lomalisa Mutambala atakuwa nje ya uwanja kwa takribani...

AŹAM ,SIMBA KINAUMANA LEO

0
Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea leo Alhamisi, Septemba 21, 2023 kwa michezo miwili kupigwa Dar es Salaam. ‘Wekundu wa Msimbazi’, Simba itakuwa mwenyeji wa ‘Wanamangushi’,...

TAJIRI KASEMA…… HAO KINA KISINDA WANAKULA 400MIL

0
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo

YANGA KWAMBINDE SANA DHIDI YA NAMUNGO, MUDATHIR AFANYA MIUJIZA

0
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Timu ya Yanga wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Namungo Katika Uwanja wa Azam Complex...

KILICHOWAPONZA SIMBA KUGOMEWA CHAMANZI HIKI HAPA

0
Ombi la Simba kutumia Uwanja wa Azam Complex katika mchezo wake wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union, utakaopigwa kesho limegonga mwamba kwa...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS