Home Authors Posts by Staff Desk

Staff Desk

1810 POSTS 0 COMMENTS

DIARRA KAMA KAWA DHIDI YA AL AHLY

0
Kipa wa Yanga SC, Djigui Diarra, anatarajia kuwepo katika mchezo ujao dhidi ya Al Ahly baada ya jana kukosekana tulipocheza dhidi ya CR Belouizdad. Diarra...

YANGA YAJA NA MKAKATI MPYA LOMALISA, GAMONDI WAFUNGUKA

0
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo

MASTAA SIMBA WAFUNGUKA KUHUSU UGAMVI UNAOENDELEA KWENYE KLABU HIYO

0
Nyota wa Zambia anayechezea Simba SC, Clatous Chama amesema anakiri kwamba hawakucheza vizuri kwenye michezo mitatu iliyopita lakini si kwamba kuna ugomvi ndani ya...

KISA SAFARI YA ZANZIBAR ALLY KAMWE AMPIGA KIJEMBE FEI TOTO

0
Ofisa Habari Yanga, Ally kamwe amesema safari yote ya Zanzibar majibu kamili yatapatikana saa 5 asubuhi hii wananchi watapata Habari zote kwanini Yanga imekuja...

MANARA AFUNGUKA KUHUSU MO DEWJI NA AINA YA WATU ANAOWAPENDA

0
Aliyewahi kuwa msemaji wakLabu ya Simba, Haji Manara amesema kuwa baada kuteuliwa jwa barbara Gonzalez kuwa Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa klabu hiyo, yeye...

ALLY KAMWE AJA NA MKWARA WA 5G DHIDI YA AL AHLY

0
Wakati wakijiandaa na mchezo wa pili hatua ya Makundi dhidi ya Bingwa mtetezi Al Ahly katika Uwanja wa Mkapa. Afisa habari wa Yanga Ali Kamwe...

MNARA AMTAJA GMS ISHU YA YEYE KUJIUNGA NA YANGA

0
Aliyewahi kuwa msemaji wa Klabu ya Simba, Haji Manara amesema kuwa alianza kuichukia klabu hiyo mara tu baada ya kuondoka na kujiunga na watani...

SKUDU,KONKON NA YANGA KUNA KITU HAKIPO SAWA HAPA

0
Yanga imefanya usajili mzuri msimu huu. Iko wazi. Wachezaji kama Yao Kouassi, Pacome Zouzoua, Maxi Nzengeli, Nickson Kibabage ni wachezaji mahiri. Lazima tuwapongeze kwa...

SIMBA SASA TUACHE KUJIFARIJI….. NJIA NI HII TU

1
Andiko la @jr_farhanjr kwenda kwa viongozi wa Simba SC; Timu ilipokuwa haifanyi vizuri Mashabiki wakapiga sana kelele, zilipozidi kelele wakaitwa Mashabiki wenye nguvu haswa mtandaoni...

WANACHAMA SIMBA WACHARUKA……MANGUNGU,TRY AGAIN WAWEKWA KITIMOTO

0
Uongozi wa Simba SC, kupitia kwa Mwenyekiti wa Bodi, Salim Abdallah na Mwenyekiti wa Simba SC pamoja na Bodi ya Wakurugenzi wamekutana na wanachama...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS