Home Authors Posts by Staff Desk

Staff Desk

1810 POSTS 0 COMMENTS

GAMONDI AWATAJA MASTAA WAWILI YANGA

0
Nyota wa Yanga, Jesus Moloko na Clement Mzize wamemkosha kocha wao, Miguel Gamondi kwa kile walichokifanya kwenye mchezo uliopita wa Ligi Kuu Tanzania Bara...

HUO MKATAB WA AZIZ KI NI KUFURU

0
Kuna uwezekano mkubwa wa Uongozi wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans kumsainisha mkataba mpya kiungo mshambuliaji kutoka Burkina Faso Stephane Aziz Ki...

GAMONDI AWAPA MSTAA YANGA KIBARUA KINGINE

0
Mchora ramani za ushindi ndani ya kikosi cha Yanga, Miguel Gamondi amewapa majukumu mengine mastaa wake wakiongozwa na muunganiko wake matata wa PAM unaowajumuisha...

HUU NDIO WAKATI WA MASHABIKI WA SIMBA KUFNYA MAMUZI MAGUMU

0
Hakuna ubishi, huu ndio wakati mashabiki wa Simba wanapaswa kuonyesha ukomavu wao baada ya mambo kwenda mlama. Kipigo cha bao 5-1 ambacho walikipata kutoka kwa...

KAMA HALI ITAENDELEA HIVI SIMBA HAINA NAMNA NI KIPIGO TU

0
Kikosi cha Simba SC kimeendelea kuharibu ubao wake baada ya kupata sare ya bao 1-1 dhidi ya Namungo FC, mchezo uliopigwa jana katika Dimba...

ALIYECHUKUA MIKOBA YA ROBERTINHO AZUNGUMZIA SARE YA JANA

0
KAIMU Kocha Mkuu wa Simba, Daniel Cadena amesema sare ya bao moja waliopata dhidi ya Namungo FC hakufurahia ingawa amependa jinsi walivyocheza. Amesema ameanza kufanyia...

HERSI ASHINDWA KUFAFANUA JAMBO HILI LA UBINGWA WA YANGA

0
Rais wa Klabu ya Yanga, Eng. Hersi Said amepata kigugumizi na kushindwa kusema iwapo msimu huu watachukua ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC. Akizungumza kufutaia...

MAXI AWAPA WACHEZAJI WA YANGA KAULI HII YA KISHUJAA KUHUSU KIPIGO...

0
Kiungo Mshambuliaji wa mabingwa watetezi Ligi Kuu Tanzania Bara, Young Africans, Maxi Nzengeli, amewataka wachezaji wenzake katika timu hiyo kusahau ushindi mnono wa mabao...

KWA HILI LA CHAMA NI WAZI MAMBO SIO MAMBO MSIMU HUU

0
Mwamba wa Lusaka, Clatous Chama mkali wa pasi za mwisho Novemba 8 2023 anatimiza saa 792 za kuganda bila kushangilia pasi yake ya bao...

SIMBA HALI SI SHWARI LIGI KUU…… NAMUNGO WAFANYA UKATILI WA KULAZIMISHANA

0
Wekundu wa Msimbazi Simba SC wamelazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Namungo mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Novemba 9 Uwanja wa...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS