DOZI YA KMC KUIWINDA AS KIGALI NI MARA MBILI KWA SIKU

0

ANWAR Binde, Ofisa Habari wa klabu ya KMC amesema kuwa kwa sasa vijana wanazidi kutengamaa kuelekea mchezo wao wa kimataifa dhidi ya AS Kigali.KMC itamenyana na AS Kigali, Agosti 10 nchini Kigali ukiwa ni mchezo wa awali kwenye michuano ya kombe la Shirikisho.Akizungumza na Saleh Jembe, Binde amesema kuwa mazoezi wanayoyafanya wachezaji wao yanawaimarsha kila siku."Kwa sasa tupo kwenye...

AZAM FC WAANZA KUIWINDA FASIL KENEMA

0

ETTINE Ndayiragije, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa kikosi kipo tayari kwa ajili ya michuano ya kimataifa pamoja na Ligi Kuu Bara.Azam FC itamenyana na Fasil Kenema kwenye mchezo wa kwanza wa Shirikisho utakaochezwa Agosti 10 nchini Ethiopia."Tunajua tuna kazi kubwa kwenye michuano ya kimataifa pamoja na ligi, kwa sasa tumeanza kujiaanda na michuano ya kimataifa na tupo...

BEKI RUGAN WA JUVENTUS KUTUA ARSENAL KWA MKOPO

0

DANIELE Rugan yupo kwenye hesabu za kusajiliwa na klabu ya Arsenal kwa mkopo akitokea ndani ya kikosi cha Juventus.Beki huyo msimu uliopita akiwa na Juventus amecheza jumla ya mechi 20 kwenye mashindano yote ya Juventus.Kwa sasa thamani yake inatajwa kuwa pauni milioni 40 na Meneja wa Arsenal, Unai Emery anaamini atakuwa msaada ndani ya kikosi hicho cha washika bunduki.Rugani...

MBEYA CITY KUFUNGUA KAZI NA TANZANIA PRISONS

0
Mwambusi

JUMA Mwambusi, Kocha Mkuu wa Mbeya City amesema kuwa kazi kubwa wanayo msimu ujao kwa kuwa hesabu zao ni kufanya vema.Mwambusi amesema kikosi kipo tayari kwa ajili ya msimu pya na maandalizi yapo vizuri."Kwa sasa kila kitu kinakwenda sawa na wachezaji wapo tayari kwa msimu mpya, mashabiki wazidi kutupa sapoti," amesema.Mchezo wa kwanza kwa Mbeya City utakuwa dhidi ya...

SERIKALI YA ZANZIBAR YAIPA TANO YANGA

0

MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi ameunga mkono mfumo wa Klabu Maarufu ya Mchezo wa soka ya Yanga kuanzisha miradi ya kujitegemea katika azma ya kuiondoshea na utegemezi Klabu hiyo.Balozi Seif Ali Iddi ameyasema hayo ofisini kwake Vuga-Zanzibar wakati akizungumza na Uongozi wa Yanga.Balozi Seif amesema kwa kuwa Klabu hiyo ina dhamira sahihi ya kuendeleza...

MBELGIJI AKUBALI UWEZO WA WACHEZAJI WAKE

0

PATRICK Aussems, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa uwezo wa wachezaji wa Simba unaongezeka kila siku hivyo anaamini wataleta ushindani msimu ujao.Simba imeweka kambi nchini Afrika Kusini kwa ajili ya maandalizi ya ligi kuu pamoja na michuano ya kimataifa."Wachezaji wapo vizuri na wanaendelea vizuri hivyo imani yangu ni kuona kila mmoja anafanya kile ambacho nimemuelekeza."Ugumu mkubwa upo msimu ujao...

HIVI NDIVYO CAF WALIVYOTIBUA MIPANGO YA SIMBA

0

CRESCENTIUS Magori, Ofisa Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba amesema kuwa ratiba ya michuano ya kimataifa iliyotolewa na Shirikisho la Soka Afrika (Caf) imesababisha wapangue ratiba zao zote.Magori amesema kuwa mwaka huu wamebadili ratiba  ya maadhimisho ya Simba day kutokana na ratiba kubana,kwani mechi yao ya kwanza kimataifa dhidi ya UD Songo itakuwa Agost 10."Tumeamua kubadili ratiba zetu zote...

SIMBA WABEBA IMANI KUBWA KWA MASHABIKI

0

OFISA Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa hawana hofu na mchezo wao watakaocheza jumanne siku ya Simba day mashabiki wa Simba wanajua wanachokitaka.Agosti sita Simba itacheza uwanja wa Taifa na timu ya Power Dynamo mchezo wa kirafiki wenye lengo la kuwatambulisha wachezaji wake wapya na wale wa muda mrefu."Haijalishi itakuwa ni jumanne watu wanasema hawatakuja watu sisi tunajua...

CAF YATEUA WAAMUZI SITA WA ONGO KUCHEZESHA MECHI ZA LIGI YA MABINGWA NA SHIRIKISHO

0

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeteua Waamuzi Wanne (4) na Makamishna Wawili(2) kutoka Tanzania kusimamia mechi za Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho.Elly Sasii atasimama katikati kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa kati ya Aigle Noir ya Burundi dhidi ya Gor Mahia ya Kenya utakaopigwa Uwanja wa Prince Louis Rwagasore, Burundi Agosti 11, 2019.Sasii atasaidiwa na...

RATIBA YA SPORTPESA SIMBA WIKI IPO NAMNA HII

0

 AGOSTI 6 kwa kuchezwa mechi ya kirafiki baina ya Wekundu hao dhidi ya Power Dynamo kutoka Zambia.Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, Crescentius Magori amesema kuelekea Tamasha hilo ambalo limedhaminiwa na SportPesa litaanza Julai 31 na itakuwa litaitwa "SportPesa Simba Wiki" Matukio yake yatakuwa kama namna hii:Julai 31Kikosi kitarejea kutoka kambini nchini Afrika na kusaini mkataba na wadhamini wa jezi na vifaa...