KLABU TAJIRI YA CHINA YAMPA AHADI YA MSHAHARA MZITO GARETH BALE WA MADRID

0

GARETH Bale ni bonge la dili nchini China licha ya Meneja wake Zinadine Zidane kumwambia wazi kwamba ni lazima aondoke ndani ya kikosi hicho.Mshambuliaji huyo ambaye hataki kuondoka ndani ya Madrid inaelezwa kuwa timu moja yenye mkwanja wa kutoshha nchini China ya Beijing Guoan inaitaka saini ya mshambuliaji.POia hesabu na maleno ya klbu hiyo ni kumfanya Bale kuwa mchezaji...

FIFA KUMPA TUZO YA HESHIMA NYOTA WA ZAMANI WA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

0

ALBERT Roger Mooh Milla, Septemba 7 atapewa tuzo na Shirikisho la Soka Duniani (Fifa) kwa kufunga bao akiwa na miaka 42.Mpaka sasa imeshapita miaka 20 tangu nyota huyo apachk bao hilo kwenye michuano ya Kombe la Dunia.Bao hilo alifunga kwenye mchezo wa timu yake ya Taifa ya Cameroon dhidi ya Urusi mwaka 1994 na kwa sasa ana umri wa...

NDAYIRAGIJE:KIKOSI KIPO TAYARI KWA USHINDI LEO

0

ETTIENE Ndayiragije, Kaimu Kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania amesema kuwa kazi leo ni moja kupata matokeo chanya mbele ya Kenya ili kufuzu michuano ya Chan.Stars leo inamenyana na Kenya uwanja wa Taifa majira ya saa 10:00 kwa ajili ya kuwania tiketi ya kufuzu michuano ya Chan itakayofanyika mwaka 2020 nchini Cameroon."Kazi yetu leo ni moja tu kupata...

MWANAMICHEZO AZIM DEWJI AZIDI KUTENGAMAA

0

AZIM Dewji ambaye ni mwanamichezo imeelezwa kuwa kwa sasa anaendelea vizuri akiwa amelazwa Taasisi ya Mifupa ya MOI na matibabu baada ya kuumia ajalini akiwa njiani kwenda Rufiji katika uwekaji jiwe la msingi mradi wa umeme wa Rufiji, juzi.Inaelezwa moja ya mfupa wake katika uti wa mgongo umevunjika na anaendelea na matibabu.Dewji amewahi kuwa mfadhili na mdhamini wa Simba...

SEPETU: WACHEZAJI WALITUANGUSHA AFCON, LEO HAPANA, MASHABIKI TUJITOKEZE

0

WEMA Sepetu, shabiki mkubwa wa timu ya Taifa ya Tanzania na mjumbe wa kamati ya uhamasishaji wa timu ya Taifa amewaomba watanzania kujitokeza kwa wingi kwenye mchezo wa leo kati ya timu ya Taifa ya Tanzania na Kenya huku akiwataka wachezaji wasiliangushe Taifa.Sepetu amesema kuwa alipata furaha kubwa timu ilipofuzu michuano ya Afcon ila iliyeyuka kama barafu baada ya...

SIMBA YAWEKA MEZANI MILIONI 10 KWA AJILI YA KELVIN YONDAN, METACHA MNATA, JUMA KASEJA

0

UONGOZI wa Simba umesema kuwa endapo timu ya Taifa ya Tanzania itaibuka kidedea mbele ya timu ya Kenya leo watapewa zawadi ya milioni 10.Zawadi hizo zitakuwa ni kwa timu nzima kwa ajili ya pongezi ambayo imelenga kuwapa morali wachezaji hao ili kupata matokeo chanya kwenye mchezo wa leo wa kufuzu Chan utakaochezwa uwanja wa Taifa.Kupita kwenye ukurasa wa Instagram...

JUMA BALINYA, SIBOMANA NA KIPA WA KENYA KUTOA ZAWADI YA NGUVU LEO MOROGORO

0

NYOTA wote wakali ndani ya Yanga leo kuonyesha maajabu bure uwanja wa Jamhuri Morogoro kwenye mchezo wa kukata na shoka wa kirafiki kati ya Yanga na Mawenzi Market.Mchezo huu wa kipekee ambao ni maalumu kwa ajili ya maandalizi ya ligi msimu ujao utashuhudia mambo mengi ikiwa ni pamoja na zawadi za kutoksha kutoka kwa waandaaji ambao ni Faith Baptist...

NAHODHA STARS: TUNAPENYA LEO MBELE YA KENYA, MASHABIKI MTUPE SAPOTI

0

JOHN Bocco nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania amesema kuwa leo watapambana kuipeperusha Bendera ya Taifa mbele ya Kenya ili kupata matokeo chanya.Taifa Stas leo inakibarua mbele ya timu ya Taifa ya Kenya 'Harambee Stars' kwenye mchezo wa kuwania tiketi ya kufuzu michuano ya Chan itakayofanyika nchini Cameroon mwaka 2020 utakaochezwa uwanja wa Taifa.Bocco amesema:" Wachezaji wote tupo...

YANGA YATAKA MAJEMBE HAYA MAWILI, MMOJA KUMCHOMOA KUTOKA SIMBA

0

UONGOZI WA Yanga umesema kuwa bado upo sokoni kusaka majembe mengine makali kwa ajili ya msimu ujao.Dirisha la usajili linafungwa Julai 31 na Shirikisho la Soka Tanzania(TFF) kupitia kwa Ofisa Habari Clifford Ndimbo amesema kuwa hakutakuwa na muda wa nyongeza.Kaimu Katibu wa Yanga, Dismas Ten amesema kuwa kuna nafasi mbili kwa sasa zimebaki kwa ajili ya kusajili."Bado usajili haujafungwa...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI

0

MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Jumapili