ISHU YA MDHAMINI MKUU WALIGI KUU BARA IMEFIKA HAPA

0

WALLACE Karia, Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania amesema kuwa kwa sasa bado wanaendelea kuzungumza na mdhamini mkuu ili kukamilisha utaratibu wa kufanya naye kazi.Msimu uliopita Ligi Kuu iliendeshwa bila kuwa na mdhamini mkuu, TFF waliahidi kuwa msimu huu watakamilisha suala la mdhamini mkuu.Karia amesema kuwa TFF inatambua thamani ya kuwa na mdhamini na wanazingatia vigezo kutokana na thamani...

MBEYA CITY: TUNAMALIZIA SUALA LA USAJILI

0
Mwambusi

JUMA Mwambusi, Kocha Mkuu wa Mbeya City amesema kuwa kwa sasa wanakamilisha utaratibu wa mwisho kusajili wachezaji wapya kabla ya dirisha la usjili kufungwa.Mwambusi amejiunga na timu ya Mbeya City baada ya kupigwa chini na Azam FC msimu uliopita kwa kile kilichoelezwa kuwa ni kuwa na matokeo mabovu."Kwa sasa bado tunakamilisha suala la usajili kwa kuwa ni lala salama,...

AZAM FC YAWAITA MASHABIKI KUIPASAPOTI KIMATAIFA

0

BAADA ya Caf kutoa ratiba ya awali ya michuano ya Afrika, uongozi wa Azam FC umewataka mashabiki kujitokeza kwa wingi kuwapa sapoti.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Azam FC, Jaffary Maganga amesema kuwa klabu inatoa fursa kwa mashabiki kujiunga nao kuelekea nchini Ethiopia."Mashabiki wajitokeze kwa wingi na tumeweka utaratibu wa kuwapokea mashabiki wetu, na kuna mpango wa kukata...

KMC USOKWAUSO NA HARUNA NIYONZIMA WA SIMBA

0

UONGOZI wa KMC umesema kuwa hawana hofu na timu ya AS Kigali ambayo nyota wa zamani wa Simba Haruna Niyonzima amesajiliwa msimu huu.KMC itamenyana na AS Kigali kwenye mchezo wa awali wa michuano ya Shirikisho nchini Rwanda kabla ya kurudiana Dar.Ofisa Habari wa KMC, Anwar Binde amesema kuwa wameanza maandalizi mapema yatakayoimarisha kikosi chao kiwe cha ushindani."Tumeanza kujiaanda kwa...

NYOTA SABA KUJIUNGA LEO NA TIMU YA TAIFA, MMOJA TAARIFA ZAKE HAZIFAHAMIKI

0

KOCHA msaidizi wa timuya Taifa, Juma Mgunda amesema kuwa leo wachezaji saba waliokuwa nchini Afrika Kusini watajiunga na Timu ya Taifa kufanya mazoezi ya kujiaanda na mchezo dhidi ya Kenya Julai 28 uwanja wa Taifa huku nyota mmoja taarifa zake zikiwa hazifahamiki.Wachezaji wa timu ya Taifa walianza kambi Julai 21 ikiwa ni maalumu kwa ajili ya maandalizi ya mchezo...

RUVU SHOOTING: TUNAKIWASHA KWA KASI MSIMU UJAO

0

UONGOZI wa Ruvu Shooting umesema kuwa msimu ujao utapambana kupata matokeo chanya kwenye ligi tofauti na msimu uliopita.Ruvu Shooting imeweka kambi mkoani Pwani na ipo chini ya Kocha Mkuu, Salum Mayanga.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwre amesema kuwa hesabu kubwa zipo kwenye kuleta ushindani mkubwa."Msimu ujao tunahitaji kuleta ushindani mkubwa na tumejipanga kufanya vizuri,...

NYOTA STARS AENGULIWA MOJAKWAMOJA KAMBINI

0

MUDHATHIR Yahya sasa hatakuwa sehemu ya kikosi cha timu ya Taifa kutokana na kusumbuliwa na tatizo la kifundo cha mguu.Timu ya Taifa ya Tanzania ipo kambini kwa ajili ya maandalizi ya michuano ya Chan na mchezo wake wa kwanza ni Julai 28 dhidi ya Kenya Uwanja wa Taifa.Akizungumza na Saleh Jembe, Kocha Msaidizi wa Taifa Stars, Juma Mgunda amesema...

MTIBWA SUGAR YAMALIZANA NA MAJEMBE MANNE FASTA

0

KIUNGO wa zamani wa Simba na kikosi cha KMC amejiunga na timu yake ya zamani ya Mtibwa Sugar.Humd alipigwa chini na uongozi wa KMC na kujiunga na Arusha United ya Ligi Daraja la kwanza na sasa msimu ujao atakuwa ndani ya Mtibwa Sugar,Huyu anakuwa ni mchezaji wa nne kutangazwa na Mtibwa Sugar baada ya kuanza na Awadhi Juma wa...

UMILIKI WA KLABU, DK MWAKYEMBE AMALIZA KABISA, SASA ASILIMIA 49 LAZIMA MWEKEZAJI ZAIDI YA MMOJA

0

DK MWAKYEMBEBaada ya mzunguko, hatimaye Waziri Mkuu wa Habari, Utamaduni na Michezo, Harrison Mwakyembe amewataka viongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania TFF kuongeza uwazi katika masuala mbalimbali ili waweze kufanya kazi kwa ushirikiano ili kuondoa Hali ya sintofahamu ambayo inaweza kujitokeza.Mwakwembe ameeleza hayo baada ya kikao walichokifanya juzi Julai 23 na 24 na viongozi wa TFF, BMT, Bodi ya...

JESHI LA MTU 16 TIMU YA TAIFA LILILOPO MAZOEZINI LEO

0

KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kinaendelea na mazoezi ya kujiaanda na mchezo dhidi ya Kenya Julai 28 uwanja wa Taifa.Hili hapa jeshi kamili lililopo mazoezini muda huu1 Juma Kaseja (KMC)2 Metacha Mnata (Yanga) 3 Paul Godfrey (Yanga) 4 Paul Ngalema (Namungo FC) 5 David Mwantika (Azam FC) 6 Idd Mobi (Polisi Tanzania) 7 Kelvin Yondan (Yanga)8 Abdulazi Makame (Yanga) 9 Salim...